Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

Yes back to the roots
 
[emoji23] [emoji23]
Maana kila kitu mna bahati mna bahati. Mara mlima blah blah, mara utalii, mara KINAPA..., yaan hata kungekua hakuna vyote hivyo bado brains zinafanya kazi. Kahawa tunayo na ndizi tunazo kama nyie. Na hivi ndivyo vilichochea maendeleo. Kwanini wateseke wao? Kama ni mlima basi waoteshe wao huko kwao. Ziwa si wanalo? Basi wafanye utalii sasa na wao.
 
Nshawaambia mnabeba makablasha bila kusoma na kuelewa, angalia hapo Kilimanjaro amefaulisha wangapi na Kagera amefaulisha wangapi alafu tuone nani mbabe
Hiyo Ni hoja mfu kabisa,ulitegemea idadi ya wanafunz Kilimanjaro ilingane na idadi ya wanafunz kagera? Hata tungekuwa na wanafunz million 1 bado tungewanyoa tu
 
Nani kakudanganya ni lini uliwaona kabila kuu wakienda kuomba msaada Kilimanjaro ? Badala yake wachagga ndo kila siku kuja kanda kuu kutafuta maisha na mabinti wa kichagga kufanya kila njia ili waolewe na kabila kuu. Usicheze na Sukumaland wewe.
Wale wachezea chatu wenzio wa kolandoto ndio maskini haswaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…