miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Sasa mbona nyie hamjapata hiyo advantage mkuu?moshi kibosho mlipata advantage ya chuo cha mweka ndio maana lami imeishia pale chuoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona nyie hamjapata hiyo advantage mkuu?moshi kibosho mlipata advantage ya chuo cha mweka ndio maana lami imeishia pale chuoni
Kilimanjaro shule nyingi wanafunzi sio wengi uko kwenu ni kinyume chakeHuoni aibu mtu amefaulisha wanafunzi zaidi ya 45 elfu ww wanafunzi 30 unajilinganisha kweli
[emoji23] [emoji23]Sasa mbona nyie hamjapata hiyo advantage mkuu?
Yes back to the rootsHuko uchaggani ni sawa tu na makaburini. Mtu anajenga hekalu zuri tu huko mlimani halafu kwa mwaka analala humo kwa siku mbili tu. Halafu Mungu akimchukua eti anaenda zikwa huko ! Mimi sioni tofauti ya Kinondoni makaburini na huko Kilimanjaro. Maana karibu robo tatu ya wachagga hawaishi huko ! Wakifa wanapelekwa makaburini(Kilimanjaro). Poleni sana wachagga.
Maana kila kitu mna bahati mna bahati. Mara mlima blah blah, mara utalii, mara KINAPA..., yaan hata kungekua hakuna vyote hivyo bado brains zinafanya kazi. Kahawa tunayo na ndizi tunazo kama nyie. Na hivi ndivyo vilichochea maendeleo. Kwanini wateseke wao? Kama ni mlima basi waoteshe wao huko kwao. Ziwa si wanalo? Basi wafanye utalii sasa na wao.[emoji23] [emoji23]
Watu wanazaa kwa mpango. Pia watu wengi hawako huko wapo ugeniniKilimanjaro shule nyingi wanafunzi sio wengi uko kwenu ni kinyume chake
Ni wengi lakin wanashinda. Wew huoni Hilo.Kilimanjaro shule nyingi wanafunzi sio wengi uko kwenu ni kinyume chake
Mko nyuma ya klm kwenye kila jambo ni lini mtakua serious?Ni wengi lakin wanashinda. Wew huoni Hilo.
Wangekuwa wengi halafu wanashindwa hapo ni tatizo
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Mbona hapa hatupo nyuma yenu[emoji848]Mko nyuma ya klm kwenye kila jambo ni lini mtakua serious?
Wale wachezea chatu wenzio wa kolandoto ndio maskini haswaaWachagga ndio maskini zaidi
Nyie kwenu mlipata advantage gani? Ya KATERERO?moshi kibosho mlipata advantage ya chuo cha mweka ndio maana lami imeishia pale chuoni
Njia ya muongo huwa Ni fupi mkuuUnafika Marangu, Mwika halafu hukufika Vunjo?
Hapa ndo napochokaga. Wao wamepata advantage ya nn.Nyie kwenu mlipata advantage gani? Ya KATERERO?
Nilishajenga lakini naenda mara tatu mpaka nne kwa mwaka. Sasa wachagga mara moja tu kwa mwaka sasa hiyo ni akili au matope ?Nawewe kajenge mahekalu kijijin kwenu
Hiyo Ni hoja mfu kabisa,ulitegemea idadi ya wanafunz Kilimanjaro ilingane na idadi ya wanafunz kagera? Hata tungekuwa na wanafunz million 1 bado tungewanyoa tuNshawaambia mnabeba makablasha bila kusoma na kuelewa, angalia hapo Kilimanjaro amefaulisha wangapi na Kagera amefaulisha wangapi alafu tuone nani mbabe
Huwez mpangia mtu ratiba,Cha msingi jengeni kwenu,mtu kwaoNilishajenga lakini naenda mra tatu mpaka nne kwa mwaka. Sasa wachagga mara moja tu kwa mwaka sasa hiyo ni akili au matope ?
Nimeshamwambia sijui haelew au ubushi,haya asome hiyo ripotKagera hampo juu mpo apo katikati somewhere....Mkoa wa kilimanjaro ndio umeendelea kuliko sehemu yyte unaiofaham nchi Hii nyuma ya Dar es salaam Kwahyo shika sana adabu yakoView attachment 1660583
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Kuna mtalii gani saiv kwa korona hii?Wachukuru watalii na huo mlima vinginevyo KLM ingekuwa kigoma Tu.
Hiv bk kuna nini mpaka abiria wawe wengi hivi.
Jibu ni kwamba kuna wahayaView attachment 1660468
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Wale wachezea chatu wenzio wa kolandoto ndio maskini haswaa
Huwez mpangia mtu ratiba,Cha msingi jengeni kwenu,mtu kwao