Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

Huko uchaggani ni sawa tu na makaburini. Mtu anajenga hekalu zuri tu huko mlimani halafu kwa mwaka analala humo kwa siku mbili tu. Halafu Mungu akimchukua eti anaenda zikwa huko ! Mimi sioni tofauti ya Kinondoni makaburini na huko Kilimanjaro. Maana karibu robo tatu ya wachagga hawaishi huko ! Wakifa wanapelekwa makaburini(Kilimanjaro). Poleni sana wachagga.
Yes back to the roots
 
[emoji23] [emoji23]
Maana kila kitu mna bahati mna bahati. Mara mlima blah blah, mara utalii, mara KINAPA..., yaan hata kungekua hakuna vyote hivyo bado brains zinafanya kazi. Kahawa tunayo na ndizi tunazo kama nyie. Na hivi ndivyo vilichochea maendeleo. Kwanini wateseke wao? Kama ni mlima basi waoteshe wao huko kwao. Ziwa si wanalo? Basi wafanye utalii sasa na wao.
 
Mko nyuma ya klm kwenye kila jambo ni lini mtakua serious?
Mbona hapa hatupo nyuma yenu[emoji848]
images%20(9).jpg


Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Nshawaambia mnabeba makablasha bila kusoma na kuelewa, angalia hapo Kilimanjaro amefaulisha wangapi na Kagera amefaulisha wangapi alafu tuone nani mbabe
Hiyo Ni hoja mfu kabisa,ulitegemea idadi ya wanafunz Kilimanjaro ilingane na idadi ya wanafunz kagera? Hata tungekuwa na wanafunz million 1 bado tungewanyoa tu
 
Nani kakudanganya ni lini uliwaona kabila kuu wakienda kuomba msaada Kilimanjaro ? Badala yake wachagga ndo kila siku kuja kanda kuu kutafuta maisha na mabinti wa kichagga kufanya kila njia ili waolewe na kabila kuu. Usicheze na Sukumaland wewe.
Wale wachezea chatu wenzio wa kolandoto ndio maskini haswaa
 
Back
Top Bottom