hii mada ni deep sana kwa huyo bwana muacheni tu mtampasua kichwa bureKwahyo mwanza nzima unajua Tai five tu? Zipo hôtels na biashara kubwa hasa za spea za magari maduka makubwa ya wachaga,ukija sengerema pale biashara nyingi zao hasa za maduka makubwa ya pembejeo za kilimo kina masashua, tesha nk kila mahali tz wachaga wamewekeza nyie endeleeni kucheza na chatu tuu[emoji1][emoji1]
Tanzania nzima mchaga yupo kawekeza hata mtoto wa memkwa anajua,ukienda popote ukimkosa mchaga kimbia Sana hiyo sehemu haifai[emoji1][emoji1]Huko Kishimundu na Tarakea ndoo mjini ? We vipi sisi tuko sehemu zote mjini na vijijini.
Ehe eneo gani ambalo mchaga hayupo? Tuanzia hapoWachagga siyo kweli eti mko kila sehemu huo ni uongo mbona maeneo hampo ? Acha kudanganya. Sasa hivi kama ni biashara kila mtu anafanya.
Mwanza yenyewe pia wachaga wameijenga, wanamiliki ma biashara makubwa hapo pia sanjari na ma hotel
Sasa mbona mpo maskini? Hamna akili ya kutumia rasilimali hizo? Ukitembelea Kanda ya ziwa Ni mapori na vijumba vya nyasi kwa wingi anzia igunga,manonga,nzega, hadi huku ushetu ni balaaKilimanjaro kuna majaruba ya kumuweka msukuma ? We vipi una ardhi ya kumtosheleza ngosha wewe ili azalishe mpunga, mahindi, ndegu na achimbe dhahabu. Usicheze na hiyo jamii imebarikiwa na hatuna maneno wala ubaguzi
Ni maneno ya mkosaji hayoHizo data za kupumbaza watu waendelee kujiona wako juu kumbe hamna kitu
Biashara Sisi ndio wahindi wa tz tunamiliki hadi kampuni ya precision air Kuna msukuma mwenye uwezo hata wa helcopta Kama ya ndesamburo?Wachagga siyo kweli eti mko kila sehemu huo ni uongo mbona maeneo hampo ? Acha kudanganya. Sasa hivi kama ni biashara kila mtu anafanya.
Kwahyo mwanza nzima unajua Tai five tu? Zipo hôtels na biashara kubwa hasa za spea za magari maduka makubwa ya wachaga,ukija sengerema pale biashara nyingi zao hasa za maduka makubwa ya pembejeo za kilimo kina masashua, tesha nk kila mahali tz wachaga wamewekeza nyie endeleeni kucheza na chatu tuu[emoji1][emoji1]
Sengerema ni biashara ya pembejeoHivi katika miji ya usukumani Sengerema nayo unaihesabu kama mji wa kibiashara. Dah pole sana halo Sengerema kuna wachuuzi tu. Mwanza Jiji, Geita, Katoro, Kahama ndiko Luna watu wafanyabiashara. Pole sana.
Sababu nimeitaja hapo juu. Kwamba bila lami msingepanda huko juu maana udongo wenyewe in wa mfinyanzi wakati wa mvua in shidaBarabar za lami ninazozisema Ni zile local roads sio highway
UCHAGANI karibu maeneo yote local roads Ni lami
Mbona kwenu wasiweke sasaSababu nimeitaja hapo juu. Kwamba bila lami msingepanda huko juu maana udongo wenyewe in wa mfinyanzi wakati wa mvua in shida
Nilifika Kilimanjaro jioni ya tarehe 24/December, nikiwa kwenye timu ya watu watatu tuliojigawa kimaeneo kwa mishemishe tofauti (Hii imenisaidia kupata findings za uhakika).Izo sehemu ulizotaja ulizitembelea cku moja ya xmass
Nateseka na nini wakati nimekuja Kilimanjaro kujifunza?Kwahyo unataka kusemaje, wasifanye hko wanachofanya? Kwan kina ubaya?
Mbona unateseka sana mkuu.
Sasa hayo maeneo uliotaja hujaona tofauti kubwa na vijiji vingine vya tz? Ulishawah ona majumba ya kifahari vijijin zaidi ya Kilimanjaro?Nilifika Kilimanjaro jioni ya tarehe 24/December, nikiwa kwenye timu ya watu watatu tuliojigawa kimaeneo kwa mishemishe tofauti (Hii imenisaidia kupata findings za uhakika).
Tarehe 25/December nilikuwa Marangu, Mwika (Makerere, Mori, Shokoni, Bible nk) na Rombo(Useri, Mashati, Mkuu, Tarakea nk). 26/December nilikuwa maeneo ya Old Moshi(Kidia, Mande, Kiboroloni, Shia, Mbokomu nk), Kibosho na Machame.
Bado nipo Kilimanjaro, nakula bata na kujifunza maisha ya wachaga na wakazi wa Kilimanjaro.
Eneo la Kilimanjaro in dogo sana. Aidha utalii wa mlima Kilimanjaro ulichangia Barabara hizo kujengwa. Ila nakuambia ukweli kwamba kwa sasa wasukuma wameamka in sawa na zimwi liliolala na sasa limeamka itabidi muwe wapole tu.Mbona kwenu wasiweke sasa
Mwakani nitajitahidi kuja tena uchagani ili kuona kama kuna tofauti za kimsingi. Nitaweka updates za huu uzi.Kama umeenda mwaka huu tu sioni mantiki ya hizo findings
Hamna uwezo wowote wa. Ku compète na sisi nikikuwa kwenu Kanda ya ziwa juz bado Hali ya umaskini Ni mbaya mnazaa mno alafu mnawaozesha watoto wadogo ili mpate ngombe kwa akili hizo ndio m compete na sisi? SahauEneo la Kilimanjaro in dogo sana. Aidha utalii wa mlima Kilimanjaro ulichangia Barabara hizo kujengwa. Ila nakuambia ukweli kwamba kwa sasa wasukuma wameamka in sawa na zimwi liliolala na sasa limeamka itabidi muwe wapole tu.
Ujinga huo usitudanganye nimekwambia. Eti umefika tarehe 24 na leo una conclusion. Fala sana au ndio hivi vyuo vya Al Hamadiiyaaa.Nilifika Kilimanjaro jioni ya tarehe 24/December, nikiwa kwenye timu ya watu watatu tuliojigawa kimaeneo kwa mishemishe tofauti (Hii imenisaidia kupata findings za uhakika).
Tarehe 25/December nilikuwa Marangu, Mwika (Makerere, Mori, Shokoni, Bible nk) na Rombo(Useri, Mashati, Mkuu, Tarakea nk). 26/December nilikuwa maeneo ya Old Moshi(Kidia, Mande, Kiboroloni, Shia, Mbokomu nk), Kibosho na Machame.
Bado nipo Kilimanjaro, nakula bata na kujifunza maisha ya wachaga na wakazi wa Kilimanjaro.
Lengo la huu uzi halikuwa kufananisha uchagani na maeneo mengine ya watanzania. Lengo lilikuwa ni kuripoti christmass overrated in uchagani.Sasa hayo maeneo uliotaja hujaona tofauti kubwa na vijiji vingine vya tz? Ulishawah ona majumba ya kifahari vijijin zaidi ya Kilimanjaro?
Asante sana ndugu.Ujinga huo usitudanganye nimekwambia. Eti umefika tarehe 24 na leo una conclusion. Fala sana au ndio hivi vyuo vya Al Hamadiiyaaa.
Tafuta hoja nyingine hiyo imeshapwaya. Malabuku muhaya wewe.