Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

Kwahyo mwanza nzima unajua Tai five tu? Zipo hôtels na biashara kubwa hasa za spea za magari maduka makubwa ya wachaga,ukija sengerema pale biashara nyingi zao hasa za maduka makubwa ya pembejeo za kilimo kina masashua, tesha nk kila mahali tz wachaga wamewekeza nyie endeleeni kucheza na chatu tuu[emoji1][emoji1]
hii mada ni deep sana kwa huyo bwana muacheni tu mtampasua kichwa bure
 
Wachagga siyo kweli eti mko kila sehemu huo ni uongo mbona maeneo hampo ? Acha kudanganya. Sasa hivi kama ni biashara kila mtu anafanya.
Ehe eneo gani ambalo mchaga hayupo? Tuanzia hapo
Yes kila mtu anafanya biashara.
Lakin wachaga wamekuwa kwenye biashara for years.. inawapa adavantage moja tu. Wanajua jinsi ya kuikuza biashara in short time na wame master hii art siku nyingi sana.
 
Hotel gani ya maana ya mchagga hapo Mwanza ? Tai five msukuma kainunua, Gold crest ni jengo la PPF(PSSSF). Malaika siyo mchagga. Hoteli nyingi ni za wasukuma na wakurya acha kujitekenya na kucheka mwenyewe.
Mwanza yenyewe pia wachaga wameijenga, wanamiliki ma biashara makubwa hapo pia sanjari na ma hotel
 
Kilimanjaro kuna majaruba ya kumuweka msukuma ? We vipi una ardhi ya kumtosheleza ngosha wewe ili azalishe mpunga, mahindi, ndegu na achimbe dhahabu. Usicheze na hiyo jamii imebarikiwa na hatuna maneno wala ubaguzi
Sasa mbona mpo maskini? Hamna akili ya kutumia rasilimali hizo? Ukitembelea Kanda ya ziwa Ni mapori na vijumba vya nyasi kwa wingi anzia igunga,manonga,nzega, hadi huku ushetu ni balaa
 
Wachagga siyo kweli eti mko kila sehemu huo ni uongo mbona maeneo hampo ? Acha kudanganya. Sasa hivi kama ni biashara kila mtu anafanya.
Biashara Sisi ndio wahindi wa tz tunamiliki hadi kampuni ya precision air Kuna msukuma mwenye uwezo hata wa helcopta Kama ya ndesamburo?
 
Hivi katika miji ya usukumani Sengerema nayo unaihesabu kama mji wa kibiashara. Dah pole sana halo Sengerema kuna wachuuzi tu. Mwanza Jiji, Geita, Katoro, Kahama ndiko Luna watu wafanyabiashara. Pole sana.
Kwahyo mwanza nzima unajua Tai five tu? Zipo hôtels na biashara kubwa hasa za spea za magari maduka makubwa ya wachaga,ukija sengerema pale biashara nyingi zao hasa za maduka makubwa ya pembejeo za kilimo kina masashua, tesha nk kila mahali tz wachaga wamewekeza nyie endeleeni kucheza na chatu tuu[emoji1][emoji1]
 
Hivi katika miji ya usukumani Sengerema nayo unaihesabu kama mji wa kibiashara. Dah pole sana halo Sengerema kuna wachuuzi tu. Mwanza Jiji, Geita, Katoro, Kahama ndiko Luna watu wafanyabiashara. Pole sana.
Sengerema ni biashara ya pembejeo
 
Barabar za lami ninazozisema Ni zile local roads sio highway
UCHAGANI karibu maeneo yote local roads Ni lami
Sababu nimeitaja hapo juu. Kwamba bila lami msingepanda huko juu maana udongo wenyewe in wa mfinyanzi wakati wa mvua in shida
 
Izo sehemu ulizotaja ulizitembelea cku moja ya xmass
Nilifika Kilimanjaro jioni ya tarehe 24/December, nikiwa kwenye timu ya watu watatu tuliojigawa kimaeneo kwa mishemishe tofauti (Hii imenisaidia kupata findings za uhakika).

Tarehe 25/December nilikuwa Marangu, Mwika (Makerere, Mori, Shokoni, Bible nk) na Rombo(Useri, Mashati, Mkuu, Tarakea nk). 26/December nilikuwa maeneo ya Old Moshi(Kidia, Mande, Kiboroloni, Shia, Mbokomu nk), Kibosho na Machame.

Bado nipo Kilimanjaro, nakula bata na kujifunza maisha ya wachaga na wakazi wa Kilimanjaro.
 
Sasa hayo maeneo uliotaja hujaona tofauti kubwa na vijiji vingine vya tz? Ulishawah ona majumba ya kifahari vijijin zaidi ya Kilimanjaro?
 
Mbona kwenu wasiweke sasa
Eneo la Kilimanjaro in dogo sana. Aidha utalii wa mlima Kilimanjaro ulichangia Barabara hizo kujengwa. Ila nakuambia ukweli kwamba kwa sasa wasukuma wameamka in sawa na zimwi liliolala na sasa limeamka itabidi muwe wapole tu.
 
Hamna uwezo wowote wa. Ku compète na sisi nikikuwa kwenu Kanda ya ziwa juz bado Hali ya umaskini Ni mbaya mnazaa mno alafu mnawaozesha watoto wadogo ili mpate ngombe kwa akili hizo ndio m compete na sisi? Sahau
 
Nilifika Kilimanjaro jioni ya tarehe 24/December, nikiwa kwenye timu ya watu watatu tuliojigawa kimaeneo kwa mishemishe tofauti (Hii imenisaidia kupata findings za uhakika).

Tarehe 25/December nilikuwa Marangu, Mwika (Makerere, Mori, Shokoni, Bible nk) na Rombo(Useri, Mashati, Mkuu, Tarakea nk). 26/December nilikuwa maeneo ya Old Moshi(Kidia, Mande, Kiboroloni, Shia, Mbokomu nk), Kibosho na Machame.

Bado nipo Kilimanjaro, nakula bata na kujifunza maisha ya wachaga na wakazi wa Kilimanjaro.
Ujinga huo usitudanganye nimekwambia. Eti umefika tarehe 24 na leo una conclusion. Fala sana au ndio hivi vyuo vya Al Hamadiiyaaa.
Tafuta hoja nyingine hiyo imeshapwaya. Malabuku muhaya wewe.
 
Sasa hayo maeneo uliotaja hujaona tofauti kubwa na vijiji vingine vya tz? Ulishawah ona majumba ya kifahari vijijin zaidi ya Kilimanjaro?
Lengo la huu uzi halikuwa kufananisha uchagani na maeneo mengine ya watanzania. Lengo lilikuwa ni kuripoti christmass overrated in uchagani.

Bado niko Kilimanjaro nakusanya taarifa kuhusu taswira nzima ya kimaisha (mema na mabaya) niliyokuta uchagani. Hivyo tujipe muda zaidi, thread yake itakuja, nitaandika kila kitu.
 
Ujinga huo usitudanganye nimekwambia. Eti umefika tarehe 24 na leo una conclusion. Fala sana au ndio hivi vyuo vya Al Hamadiiyaaa.
Tafuta hoja nyingine hiyo imeshapwaya. Malabuku muhaya wewe.
Asante sana ndugu.
Unaweza ukanitukana na kunichukia pia, lakini haiwezi kuundoa ukweli nilioweza kuuona mimi mwenyewe uchagani.

Mgeni mwingine anaweza kufika Kilimanjaro na kusema yale atakayoyaona uchagani.
 
Back
Top Bottom