Nrangoo
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 3,407
- 5,418
hii mada ni deep sana kwa huyo bwana muacheni tu mtampasua kichwa bureKwahyo mwanza nzima unajua Tai five tu? Zipo hôtels na biashara kubwa hasa za spea za magari maduka makubwa ya wachaga,ukija sengerema pale biashara nyingi zao hasa za maduka makubwa ya pembejeo za kilimo kina masashua, tesha nk kila mahali tz wachaga wamewekeza nyie endeleeni kucheza na chatu tuu[emoji1][emoji1]