Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

Labda tu niwele in simple way. Mchaga yuko kila mahali. Na napenda ethic yao ya upambanaji. Wazungu wanasema kama fursa haitokei.. tengeneza hiyo fursa.
Ndio maana wamesambaa kila mahali kusaka mapene.. si watu wavivu. Ndio maana wamesambaa

Kuhusu wanawake wa kichaga kutaka kuolewa na wasukuma that is false. Hakuna data or statistics inayo support allegation zako.
Hata kabila kuu wako kila mahali na kwingine tumebadilisha mikoa kuwa kabila kuu kama Katavi, Kigoma, nusu ya mkoa wa Morogoro, Singida, Mara na Rukwa huku Kagera ikipoteza Wilaya ya Biharamulo. Chezea Ngosha weye.
 
Nimetembea Kilimanjaro yote sikuona jipya kuanzia Machame, Masama, Kibosho, Uru, Marangu, Rombo, Mwanga na Same kote huko sikuona jambo la ajabu ambalo kwetu halipo. Mtu unamkuta huko Kilimanjaro anamiliki robo eka ya mchaimchai eti naye anajiita tajiri ! Migomba yenyewe huko Machame mashina kama paja la mbuzi ! Ni shida kwa kwenda mbele ! Mnakuja kudanganya eti Kilimanjaro matajiri, kwa lipi hasa ! Huko Kishimundi ndio wamejaa mazezeta kwa ulevi. Poleni sana kwa majigambo hamjambo.
Ulitembea kote upo sure? Nenda NBS Kawashuhudie kua wanakosea sana na taarifa zao Yawezekana uko kwenu ndio number 1 Tanzania, hata sio muhimu kujua kwenu wap
 
Nimetembea Kilimanjaro yote sikuona jipya kuanzia Machame, Masama, Kibosho, Uru, Marangu, Rombo, Mwanga na Same kote huko sikuona jambo la ajabu ambalo kwetu halipo. Mtu unamkuta huko Kilimanjaro anamiliki robo eka ya mchaimchai eti naye anajiita tajiri ! Migomba yenyewe huko Machame mashina kama paja la mbuzi ! Ni shida kwa kwenda mbele ! Mnakuja kudanganya eti Kilimanjaro matajiri, kwa lipi hasa ! Huko Kishimundi ndio wamejaa mazezeta kwa ulevi. Poleni sana kwa majigambo hamjambo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngosha, hii ligi kaa pembeni bwana unatupotezea muda. Yaan kabisa Mwanza hii hii?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] eti nimetembelea kilimanjaro yote. Mafi ya popooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti shida tupu. Ngoja tukutupe mbali maana dah
 
Vibarua wa nani ?
Weee... unajitoa ufahamu? Kwetu tu yuko anaelisha mifugo yetu. Na tunamwamini sana na kunpenda. Yuko moshi huko na almaarufu kama Majanga. Na anapiga mbege balaa. Huyo ni sample. Wamejaa tele. Siyo wavivu kns kwa swala la kazi hapo wapewe credits zao kwakweli
 
Hapa kwangu tu mlinzi wangu ni mchagga. Dereva wangu mpare.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngosha, hii ligi kaa pembeni bwana unatupotezea muda. Yaan kabisa Mwanza hii hii?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] eti nimetembelea kilimanjaro yote. Mafi ya popooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti shida tupu. Ngoja tukutupe mbali maana dah
Mimi naijua Kilimanjaro kuliko hata wewe. Tunaponyamaza mnadhani hatujafika kumbe sivyo. Kote huko kwa wapare sijui, Gonja maole, kivukoni mpaka ndungu nimefika. Wilaya ya Siha yote kuelekea kule kwenye Magadi kama unaelekea Longido nimefika. Sasa sijui unataka kuniambia nini. Ok. Ngoja niwaachie ligi yenu ya wachagga na wahaya. Bye.
 
Mafiiii eti naijua kilimanjaro yoote kukuzidi hata wewe. Jiangalie we msukuma. Jiangalie haswaaaa. Haya rudi machungani
 
Mwanza unataka kuilingainisha na Kamoshi kenu ! Kweli mbege ni shida
.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngosha, hii ligi kaa pembeni bwana unatupotezea muda. Yaan kabisa Mwanza hii hii?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] eti nimetembelea kilimanjaro yote. Mafi ya popooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti shida tupu. Ngoja tukutupe mbali maana dah
 
Nimetembea Kilimanjaro yote sikuona jipya kuanzia Machame, Masama, Kibosho, Uru, Marangu, Rombo, Mwanga na Same kote huko sikuona jambo la ajabu ambalo kwetu halipo. Mtu unamkuta huko Kilimanjaro anamiliki robo eka ya mchaimchai eti naye anajiita tajiri ! Migomba yenyewe huko Machame mashina kama paja la mbuzi ! Ni shida kwa kwenda mbele ! Mnakuja kudanganya eti Kilimanjaro matajiri, kwa lipi hasa ! Huko Kishimundu ndio wamejaa mazezeta kwa ulevi. Poleni sana kwa majigambo hamjambo.
Wewe msukuma chunga mbuz tu
Soma hapa sisi hatuna maneno mengi
tapatalk_1609090029340.jpeg
 
Hata kabila kuu wako kila mahali na kwingine tumebadilisha mikoa kuwa kabila kuu kama Katavi, Kigoma, nusu ya mkoa wa Morogoro, Singida, Mara na Rukwa huku Kagera ikipoteza Wilaya ya Biharamulo. Chezea Ngosha weye.
Nyie ni wafugaji mpo porini huko hamna exposure Zaid ya kuongoza kwa ushamba
 
Back
Top Bottom