nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,035
- 2,938
Hata kabila kuu wako kila mahali na kwingine tumebadilisha mikoa kuwa kabila kuu kama Katavi, Kigoma, nusu ya mkoa wa Morogoro, Singida, Mara na Rukwa huku Kagera ikipoteza Wilaya ya Biharamulo. Chezea Ngosha weye.Labda tu niwele in simple way. Mchaga yuko kila mahali. Na napenda ethic yao ya upambanaji. Wazungu wanasema kama fursa haitokei.. tengeneza hiyo fursa.
Ndio maana wamesambaa kila mahali kusaka mapene.. si watu wavivu. Ndio maana wamesambaa
Kuhusu wanawake wa kichaga kutaka kuolewa na wasukuma that is false. Hakuna data or statistics inayo support allegation zako.