Christmas yote hii halafu mashabiki wa Yanga wamejaa malalamiko

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Inafikirisha sana, dunia nzima ipo katika shamrashamra za birthday ya Yesu Kristo, hawa ndugu zetu vyura wanaharibu mood yetu kwa kujaa malalamiko yasiyo na kichwa wala mguu.

Ukiwauliza wanalalamika nini hawana jibu la kueleweka. Mara refa, mara analalamikiwa mchezaji wa JKT, wanamlaumu hadi Mpanzu eti kwa kupiga mashuti sana yanayolenga goli. Wakiangalia muda faulo ilipofanyika wanashindwa kulalamikia muda kama kawaida yao, basi wanabaki wamenyong'onyeaaa.

Mmesahau hata kutumia siku ya leo kumshukuru Mungu kwa kufunguliwa streka wenu mnabaki kueneza fitna na roho mbaya.
 
Utopolo waazimwe akili washerehekee hata sikukuu tu.Baada ya sikukuu waachwe wajipambanie hali zao.Bloody vyuraz!
 
Inafikirisha sana, dunia nzima ipo katika shamrashamra za birthday ya Yesu Kristo, hawa ndugu zetu vyura wanaharibu mood yetu kwa kujaa malalamiko yasiyo na kichwa wala mguu.

Ukiwauliza wanalalamika nini hawana jibu la kueleweka. Mara refa, mara analalamikiwa mchezaji wa JKT, wanamlaumu hadi Mpanzu eti kwa kupiga mashuti sana yanayolenga goli. Wakiangalia muda faulo ilipofanyika wanashindwa kulalamikia muda kama kawaida yao, basi wanabaki wamenyong'onyeaaa.

Mmesahau hata kutumia siku ya leo kumshukuru Mungu kwa kufunguliwa streka wenu mnabaki kueneza fitna na roho mbaya.
IMG-20241207-WA0005.jpg
 
Back
Top Bottom