Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Hapana, madam huwezi kusema namna hiyo¡Hongera yake sana.
Ukiwa na hela huwezi kuzeeka.
Uzee unakuja kutokana na mawazo.
Reginald mengi hakua na hela, bakhresa hana hela hata GSM ni mdogo Kwa huyu ila gsm anaonekana mkubwa Kwa huyuHongera yake sana.
Ukiwa na hela huwezi kuzeeka.
Uzee unakuja kutokana na mawazo.
Siri yake!Ni msingapore jamaa ana miaka 60 lakini muonekano wake ni WA miaka 30, jamaa kushangaza ulimwengu jinsi anavo jitunza
Hajafanya surgery kakaKwa wenzetu Kuna mambo mengi sana aisee
Unafanyiwa upasuaji popote kwenye mwili wako ukiwa na kibunda tu, wadada wa dar wanatokaga hapa wamezeeka wanarudi mabinti, matiti yanakuwa saa sita, tako linainuka Tena, sura inakuwa ya bint, kiuno dondora ,,, jamaa wameendelea sana
nya surgery, ana dai anazingatia mlo, ana Fanya mazoezi Kwa umakini si kubeba tu nondo bila kutumia akili🤣Siri yake!
Hajafanya surgery namfatilia sana, kapewa deals mbalimbali za fashion na anafahamika sana haja Fanya surgeryUlishaangalia kafanya surgery ngapi?
Una ishi naye Mkuu, siku hizi mashoga wanasema wao sio mashogaHajafanya surgery kaka
Hii point kaibisha na kama na uzi kabisaHongera yake sana.
Ukiwa na hela huwezi kuzeeka.
Uzee unakuja kutokana na mawazo.
Anaitwa chuando tan ni msingapore namfatilia sana nimeangalia interview zake nyingiJina lake anaitwa nani ? Sio kila kitu chakuokota kwenye mitandao na kuamini
Chuando tan ni msingapore namfaham nimem fatilia sna muda sanaJina lake anaitwa nani ? Sio kila kitu chakuokota kwenye mitandao na kuamini
Unafahamu Sheria za brand kubwa za mavazi wanapo taka kukupa ubalozi? Au una fahamu utaratibu wa kuandikwa kwenye kitabu cha GuinnessUna ishi naye Mkuu, siku hizi mashoga wanasema wao sio mashoga
Kuna watu dna zao ni za uzee tu😆Mi Nina miaka 38 ila muonekano wa miaka 69.Shukrani Kwa hair dye.Taswira nayorandana nayo inafata.View attachment 3645047