Usiamini sinema mkuuUnafahamu Sheria za brand kubwa za mavazi wanapo taka kukupa ubalozi? Au una fahamu utaratibu wa kuandikwa kwenye kitabu cha Guinness
Bro mbona sija kitaja wewe nime mtaja yeye? Nimekwambia Nisha kutana na hao wengi na nikagundua ni sinema huyu anafahamika ni kama trump anavo fahamika kwani we usha MUONA trump si unamsikia tuUsiamini sinema mkuu
Hela, mazoezi na kuepuka Starehe za kijinga ulevi, sigara, maswala.Hongera yake sana.
Ukiwa na hela huwezi kuzeeka.
Uzee unakuja kutokana na mawazo.
Hii Dye ni aibu Bora Tu uachane nayo🤣🤣Mi Nina miaka 38 ila muonekano wa miaka 69.Shukrani Kwa hair dye.Taswira nayorandana nayo inafata.View attachment 3645047
Kampala Tu happo UG hizi huduma zote zipoKwa wenzetu Kuna mambo mengi sana aisee
Unafanyiwa upasuaji popote kwenye mwili wako ukiwa na kibunda tu, wadada wa dar wanatokaga hapa wamezeeka wanarudi mabinti, matiti yanakuwa saa sita, tako linainuka Tena, sura inakuwa ya bint, kiuno dondora ,,, jamaa wameendelea sana
Nasikia usiwe mtu wa kutomb sana inabidi ukae hata mwaka hujui mwanamkeHela, mazoezi na kuepuka Starehe za kijinga ulevi, sigara, maswala.
Kila kitu kizuri kina cost yake lazima uache mambo fulani yakupite
Hela pia inaongeza uzee.Hongera yake sana.
Ukiwa na hela huwezi kuzeeka.
Uzee unakuja kutokana na mawazo.
Rooney ex wa man UTD miaka 38 ila Mzee tayariHela pia inaongeza uzee.
Kuna dogo hapa ni 30+ ana muonekano wa kizee maana anagonga pombe kali, sigala mademu siyo kitoto na kifedha yuko vema.
Dada ake 😘😘Hii point kaibisha na kama na uzi kabisa
Huyo ni limbukeni.Hela pia inaongeza uzee.
Kuna dogo hapa ni 30+ ana muonekano wa kizee maana anagonga pombe kali, sigala mademu siyo kitoto na kifedha yuko vema.
Yes!Hela, mazoezi na kuepuka Starehe za kijinga ulevi, sigara, maswala.
Kila kitu kizuri kina cost yake lazima uache mambo fulani yakupite