Chuando tan ana miaka 60 lakini ana muonekano wa kijana kabisa

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Ni msingapore jamaa ana miaka 60 lakini muonekano wake ni WA miaka 30, jamaa kushangaza ulimwengu jinsi anavo jitunza
 

Attachments

  • Screenshot_20260807-095749.jpg
    52.9 KB · Views: 10
  • Screenshot_20260804-235617.jpg
    56 KB · Views: 11
  • Screenshot_20260804-235234.jpg
    76.4 KB · Views: 9
Kwa wenzetu Kuna mambo mengi sana aisee

Unafanyiwa upasuaji popote kwenye mwili wako ukiwa na kibunda tu, wadada wa dar wanatokaga hapa wamezeeka wanarudi mabinti, matiti yanakuwa saa sita, tako linainuka Tena, sura inakuwa ya bint, kiuno dondora ,,, jamaa wameendelea sana
 
Hajafanya surgery kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…