Chuando tan ana miaka 60 lakini ana muonekano wa kijana kabisa

Kampala Tu happo UG hizi huduma zote zipo
 
Hela pia inaongeza uzee.
Kuna dogo hapa ni 30+ ana muonekano wa kizee maana anagonga pombe kali, sigala mademu siyo kitoto na kifedha yuko vema.
Huyo ni limbukeni.
Wenye pesa wanakula vizuri.
Kisha wanakunywa kistaarabu.
Unakuta Wana nawiri tu.
 
Lazima kuna siri ya kitabibu nyuma ya pazia, no way mtu ana miaka 60 halafu ngozi imenyooka namna hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…