katib mkoa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,574
- 2,161
Ooho mwanaume na kioo tena ? we tayari kumekucha niamin mimiNilikuwa nimesimama kwenye kioo nikajiangalia chuchu nikaona kama zimekaa bila ya faida yoyote ile ya mana ndio mana nikahoji zina faida gani labda kuna faida yake mimi sijui
Ni haki yako mwanadamu kutambua kazi ya kila kiungo chako mkuu au unafurahi kuwa na kiungo usicho jua kazi yake?Oooh!! ogopa sana popo bawa akizikuta zimeumuka kidogo halafu wewe ni mwanaume ndio anahamia hapo. sijui umefikiria nini kuleta hii nyuzi ?
Kujitizama matiti ya kazi gani sa jombaa?Wewe hardcore sio ujiangalii kwenye kioo? Au mpaka uwe saloon unanyolewa ndio unajiangalia? Hahaha swali dogo tu ila jibu lako limenipa tafsiri ya elimu yako
Hata mimi simuelewiSijui umewaza nini mkuu
Mkuu unatuangushaNdio mkuu
Hahahaha!We jamaa utakuwa ulijaribu kunyonyeshea paka ndio ukagundua hazina kazi
Sasa njoo huku Bunju kwenye hekalu langu ulale japo usiku mmoja nikushikeshike halafu ulete mrejesho
Hilo sijasema, umesema wewe. Kabla ya sex kuanza kujiunda kiumbe huwa sio me wala keShukrani mkuu maelezo yako yanaonyesha wazi binadamu kwenye maumbile yake uwanza na maumbile ya kike na ujaubadilika pale sex zinapoanza tokea
Dah...uko Dar au mkoa?Wakuu naomba kujuwa faida ya chuchu kwa mwanaume ni zipi?na kama hazina faida yoyote ile zipo kwa ajili gani kwa mwanaume?
Ndugu unafikiri mungu aliumba binadamu akaweka viungo vingine vya urembo havina kazi ?Ni haki yako mwanadamu kutambua kazi ya kila kiungo chako mkuu au unafurahi kuwa na kiungo usicho jua kazi yake?
Huwa nakereka..teh!Mwambie wifi azilambe lambe kwa ulimi then lete mrejesho.
Hahahaa!! Its all in yo mind tu.Huwa nakereka..teh!
Hizo kitu kwa me (hasa kwangu) ni nakshi tu.
hahaaa " mbona wengine tukipapaswa" hatusikii msisimko wowote aisee ""!!!?Ni one of the vestigeal organs mwilini mwako. Lakini nakusihi fanya ulichoambiwa hapo #6 au hata ww mwenyewe jaribu kuzipapasa halafu utuletee mrejesho hapa.
hahaaaaHahaha kwahiyo faida yake ni hiyo tu kulambwa labwa?
Kwa nini haujawaza faida ya kucha au nywele ambavyo tunahangaika kuvipunguza mara kwa mara?Ni haki yako mwanadamu kutambua kazi ya kila kiungo chako mkuu au unafurahi kuwa na kiungo usicho jua kazi yake?
Wakuu naomba kujuwa faida ya chuchu kwa mwanaume ni zipi?na kama hazina faida yoyote ile zipo kwa ajili gani kwa mwanaume?