Chuchu za mwanaume

Chuchu za mwanaume

Oooh!! ogopa sana popo bawa akizikuta zimeumuka kidogo halafu wewe ni mwanaume ndio anahamia hapo. sijui umefikiria nini kuleta hii nyuzi ?
Ni haki yako mwanadamu kutambua kazi ya kila kiungo chako mkuu au unafurahi kuwa na kiungo usicho jua kazi yake?
 
Wewe hardcore sio ujiangalii kwenye kioo? Au mpaka uwe saloon unanyolewa ndio unajiangalia? Hahaha swali dogo tu ila jibu lako limenipa tafsiri ya elimu yako
Kujitizama matiti ya kazi gani sa jombaa?

Elimu ipi ya kutafuta pesa au ya darasani?
 
Shukrani mkuu maelezo yako yanaonyesha wazi binadamu kwenye maumbile yake uwanza na maumbile ya kike na ujaubadilika pale sex zinapoanza tokea
Hilo sijasema, umesema wewe. Kabla ya sex kuanza kujiunda kiumbe huwa sio me wala ke
 
Ni haki yako mwanadamu kutambua kazi ya kila kiungo chako mkuu au unafurahi kuwa na kiungo usicho jua kazi yake?
Ndugu unafikiri mungu aliumba binadamu akaweka viungo vingine vya urembo havina kazi ?
 
Ni one of the vestigeal organs mwilini mwako. Lakini nakusihi fanya ulichoambiwa hapo #6 au hata ww mwenyewe jaribu kuzipapasa halafu utuletee mrejesho hapa.
hahaaa " mbona wengine tukipapaswa" hatusikii msisimko wowote aisee ""!!!?
 
Ni haki yako mwanadamu kutambua kazi ya kila kiungo chako mkuu au unafurahi kuwa na kiungo usicho jua kazi yake?
Kwa nini haujawaza faida ya kucha au nywele ambavyo tunahangaika kuvipunguza mara kwa mara?
 
Back
Top Bottom