kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
Umeoa mkuu?!
Kajitahidi. Japo hizi mambo za chuchu za -me, sijui appendix Masoud Kipanya ulizia ulizia sana ktk Upuuzi wa Kipanya!Umefikiri nje ya box
Itakuwa msisimko ulihamia kule unakosisimkwahahaaa " mbona wengine tukipapaswa" hatusikii msisimko wowote aisee ""!!!?
haha ha wapi huko" maana mimi bado mtoto",,so nimgeni kwenye hiyo tasnia aiseeItakuwa msisimko ulihamia kule unakosisimkwa
at least umejibu kisayansini vestigial organ kwa wanaume maana hazina kazi, lakini pia zinaonyesha kuwa wewe ni mammalia (presence of mammary glands).
Aaah mzee baba chuchu tena zichezewe!!Tafuta mtu azishike then utajua faida yake
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ooho mwanaume na kioo tena ? we tayari kumekucha niamin mimi
Ukisikia Ego (Nafsi) ndio huko. Unafikiria Kila alichumbwa na nacho Manamke ni kwa ajili ya Mwanamme tu?Wakuu naomba kujuwa faida ya chuchu kwa mwanaume ni zipi?na kama hazina faida yoyote ile zipo kwa ajili gani kwa mwanaume?
Jaribu tena baadaye.πhahaaa " mbona wengine tukipapaswa" hatusikii msisimko wowote aisee ""!!!?