Chuchu za mwanaume

Chuchu za mwanaume

Huwa anasema nishike chuchu au ninyonye chuchu, sijui kwa nini
 
Zina faida yake labda wewe bado hujaijua
Wajuvi wa kazi washasema
 
Ndo mana mm nilizikataa. .chuchu tena!! Ebooo
 
Wakuu naomba kujuwa faida ya chuchu kwa mwanaume ni zipi?na kama hazina faida yoyote ile zipo kwa ajili gani kwa mwanaume?
Ukisikia Ego (Nafsi) ndio huko. Unafikiria Kila alichumbwa na nacho Manamke ni kwa ajili ya Mwanamme tu?
Kwanza mtu jiulze kama mtu mama yake hakuumbwa na Chuchu ungelinyonya nini?
 
mkuu izo zinatumia 66 yan kuna wajuz nazo.....MKUU ISIFIKE MAHAL UKAULIZA MATAK...YA NN KWA MWANAUME😉😉
 
Back
Top Bottom