Chuga ni nchi nyingine nchini?

Chugamaica ni kwere arif! Kila msela anae jaxi chalyangu! Ni kusongesha mindifinga ma LX niaje ni shaziii bablae!
 
Usichotaka kuamini ni nini mkuu wangu
Karibu sana ChuganianπŸ˜…πŸ˜…
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sitaki kuamini nilichokiona....nitakaribia
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sitaki kuamini nilichokiona....nitakaribia
Amini tu mkuu, hiyo ndiyo Chuga yetu tunaipenda wenyewe
najitolea kuja pm kukupa shule ya kichuganiani kama mlango uko wazi nikaribishe tuu
 
Amini tu mkuu, hiyo ndiyo Chuga yetu tunaipenda wenyewe
najitolea kuja pm kukupa shule ya kichuganiani kama mlango uko wazi nikaribishe tuu
Haya mwalimu wa kujitolea karibu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…