Chuga ni nchi nyingine nchini?

Chuga ni nchi nyingine nchini?

Chugamaica ni kwere arif! Kila msela anae jaxi chalyangu! Ni kusongesha mindifinga ma LX niaje ni shaziii bablae!
 
😀😀😀 sitaki kuamini nilichokiona....nitakaribia
Amini tu mkuu, hiyo ndiyo Chuga yetu tunaipenda wenyewe
najitolea kuja pm kukupa shule ya kichuganiani kama mlango uko wazi nikaribishe tuu
 
Amini tu mkuu, hiyo ndiyo Chuga yetu tunaipenda wenyewe
najitolea kuja pm kukupa shule ya kichuganiani kama mlango uko wazi nikaribishe tuu
Haya mwalimu wa kujitolea karibu...
 
Back
Top Bottom