Kwamba hizi ndio fikra zilizokuijia kichwani baada ya kusoma hii habari?Nchimbi ashatoka huko?
Wasukuma wachawi sana waliwahi kumvuta mguu rais naniliu 🐼
Nchimbi ashatoka huko?
Wasukuma wachawi sana waliwahi kumvuta mguu rais naniliu 🐼
Mleta mada nadharia yako inaweza kuwa sahihi kwa asilimia fulani... hakika ni jambo la kustahajabisha chui kuonekana mjini, ingekuwa ni maeneo ya Kisesa au Magu tunge assume labda katokea Serengeti.. lakini Mahina? Hapo kweli yawezekana ni jambo la kutengenezwa.
Koma kabisa kutuhusisha na ushirikina wenu huko ccm, ila mjue kabisa huyo mama yenu huku hana chake noi kwa vile matokeo yameshapikwa tayari huko INEC.Nchimbi ashatoka huko?
Wasukuma wachawi sana waliwahi kumvuta mguu rais naniliu 🐼
Chui amfate Rosti Tamu? 🤣Huyo CHUI namshauri amtafute ROSTAM na ABDULLY awatafune mara moja
Nimemaliza hapo Milongo Primary 1977 sijui kama hiyo shule bado ipoKoma kabisa kutuhusisha na ushirikina wenu huko ccm.
Huko kwenu mbona uchawi ndiyi dili kubwa mnatumia pembe za ng'ombe kama usafiriNimemaliza hapo Milongo Primary 1977 sijui kama hiyo shule bado ipo
Niliishi Isamilo Mlimani kwenye nyumba za Ridoch Motors Fisi walikuwa wengi sana wanatumika kiuchawi 😄😄
Lucas Mwashambwa yupo Mwanza?Nchimbi ashatoka huko?
Wasukuma wachawi sana waliwahi kumvuta mguu rais naniliu 🐼
amukule kabisa jambawazi yuleChui amfate Rosti Tamu? 🤣
Hili tukio Lucas Mwashambwa anahusikaNimemaliza hapo Milongo Primary 1977 sijui kama hiyo shule bado ipo
Niliishi Isamilo Mlimani kwenye nyumba za Ridoch Motors Fisi walikuwa wengi sana wanatumika kiuchawi 😄😄
Sahihi kabisa pamoja na anayewatumaHuyo CHUI namshauri amtafute ROSTAM na ABDULLY awatafune mara moja
Chui ?Chui aliyevamia makazi ya watu katika mtaa wa Usalama, Kata ya Mahina Jijini Mwanza na kujeruhi watu wanne, akiwemo mtoto wa miaka kumi, mwananchi mmoja na askari wawili wa Mamlaka ya Uhifadhi wa Wanyama Pori, amedhibitiwa na kuuawa kwa kupigwa risasi kufuatia operesheni iliyoendeshwa na askari wa Mamlaka ya Uhifadhi kwa kushirikiana na askari wa Jeshi la Polisi pamoja na wananchi.
Mwenyekiti wa mtaa huo amewataka wananchi kutoa taarifa kwa wakati pindi wanapoona wanyama wakali kwenye maeneo yao, kwani inasemekana baadhi ya wananchi walimwona chui huyo kwa muda mrefu bila kutoa taarifa mpaka alipoleta madhara.
Majuzi kati kumeonekana na kuwawa kwa chui mkubwa mjini Mwanza:
Kwamba chui alijeruhi mtoto wa miaka 10 na askari kadhaa.
Chui kuonekana mjini? Chui huondoka na swala kg 50+, hadi juu ya miti. Wetu anajeruhi watu? Chui gani huyu?
"Chui huyu siyo chui wa kufugwa aliyezowea kuletewa nyama za ng'ombe kwenye zoo fulani huko?"
Hakuletwa huyu makusudi ku ondoa attention ya watu na hoja ya magesi ya Oryx au yale mengine? Au zile hoja zingine zikiwamo zile nzito nzito za kutoana roho?
Kwa mwendo huu siyo tujiandae kuona mengi, almaarufu ya Mussa?
... sio jambo la Ajabu chui kuonekana hapo Mahina!Mleta mada nadharia yako inaweza kuwa sahihi kwa asilimia fulani... hakika ni jambo la kustahajabisha chui kuonekana mjini, ingekuwa ni maeneo ya Kisesa au Magu tunge assume labda katokea Serengeti.. lakini Mahina? Hapo kweli yawezekana ni jambo la kutengenezwa.
Oktoba watanzania eti wanatikiHapa tusubiri matukio zaidi. Zingatia Huka kampeni zimedoda, kule Polepole na spana zake. Huku jasusi la mbinguni. Bado mahakamani TAL na Mpina mazagazaga yake. Yaani mtoto hatumwi dukani!