Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 1,236
- 3,544
wote waliwe kabisaSahihi kabisa pamoja na anayewatuma

Sisi mtandao wazee wa kutengeneza episodChui aliyevamia makazi ya watu katika mtaa wa Usalama, Kata ya Mahina Jijini Mwanza na kujeruhi watu wanne, akiwemo mtoto wa miaka kumi, mwananchi mmoja na askari wawili wa Mamlaka ya Uhifadhi wa Wanyama Pori, amedhibitiwa na kuuawa kwa kupigwa risasi kufuatia operesheni iliyoendeshwa na askari wa Mamlaka ya Uhifadhi kwa kushirikiana na askari wa Jeshi la Polisi pamoja na wananchi.
Mwenyekiti wa mtaa huo amewataka wananchi kutoa taarifa kwa wakati pindi wanapoona wanyama wakali kwenye maeneo yao, kwani inasemekana baadhi ya wananchi walimwona chui huyo kwa muda mrefu bila kutoa taarifa mpaka alipoleta madhara.
Majuzi kati kumeonekana na kuwawa kwa chui mkubwa mjini Mwanza:
Kwamba chui alijeruhi mtoto wa miaka 10 na askari kadhaa.
Chui kuonekana mjini? Chui huondoka na swala kg 50+, hadi juu ya miti. Wetu anajeruhi watu? Chui gani huyu?
"Chui huyu siyo chui wa kufugwa aliyezowea kuletewa nyama za ng'ombe kwenye zoo fulani huko?"
Hakuletwa huyu makusudi ku ondoa attention ya watu na hoja ya magesi ya Oryx au yale mengine? Au zile hoja zingine zikiwamo zile nzito nzito za kutoana roho?
Kwa mwendo huu siyo tujiandae kuona mengi, almaarufu ya Mussa?
Yaani wewe binafsi unataka kusema kwakuwa umesoma habari za chui kujeruhi watu Mahina, Jijini Mwanza tayari umesahau kuwa Lissu ana kesi ya Uhaini?Chui aliyevamia makazi ya watu katika mtaa wa Usalama, Kata ya Mahina Jijini Mwanza na kujeruhi watu wanne, akiwemo mtoto wa miaka kumi, mwananchi mmoja na askari wawili wa Mamlaka ya Uhifadhi wa Wanyama Pori, amedhibitiwa na kuuawa kwa kupigwa risasi kufuatia operesheni iliyoendeshwa na askari wa Mamlaka ya Uhifadhi kwa kushirikiana na askari wa Jeshi la Polisi pamoja na wananchi.
Mwenyekiti wa mtaa huo amewataka wananchi kutoa taarifa kwa wakati pindi wanapoona wanyama wakali kwenye maeneo yao, kwani inasemekana baadhi ya wananchi walimwona chui huyo kwa muda mrefu bila kutoa taarifa mpaka alipoleta madhara.
Majuzi kati kumeonekana na kuwawa kwa chui mkubwa mjini Mwanza:
Kwamba chui alijeruhi mtoto wa miaka 10 na askari kadhaa.
Chui kuonekana mjini? Chui huondoka na swala kg 50+, hadi juu ya miti. Wetu anajeruhi watu? Chui gani huyu?
"Chui huyu siyo chui wa kufugwa aliyezowea kuletewa nyama za ng'ombe kwenye zoo fulani huko?"
Hakuletwa huyu makusudi ku ondoa attention ya watu na hoja ya magesi ya Oryx au yale mengine? Au zile hoja zingine zikiwamo zile nzito nzito za kutoana roho?
Kwa mwendo huu siyo tujiandae kuona mengi, almaarufu ya Mussa?
Nchi za wenzetu hili tukio lingeambatana na.purukushani za chui akiwachezesha bilinge hao watu lkn huku gizani tunaletewa mahojiano ya wananchi jinsi tukio lilivyokuwa na mostly story huongezwa chumvi.Chui aliyevamia makazi ya watu katika mtaa wa Usalama, Kata ya Mahina Jijini Mwanza na kujeruhi watu wanne, akiwemo mtoto wa miaka kumi, mwananchi mmoja na askari wawili wa Mamlaka ya Uhifadhi wa Wanyama Pori, amedhibitiwa na kuuawa kwa kupigwa risasi kufuatia operesheni iliyoendeshwa na askari wa Mamlaka ya Uhifadhi kwa kushirikiana na askari wa Jeshi la Polisi pamoja na wananchi.
Mwenyekiti wa mtaa huo amewataka wananchi kutoa taarifa kwa wakati pindi wanapoona wanyama wakali kwenye maeneo yao, kwani inasemekana baadhi ya wananchi walimwona chui huyo kwa muda mrefu bila kutoa taarifa mpaka alipoleta madhara.
Majuzi kati kumeonekana na kuwawa kwa chui mkubwa mjini Mwanza:
Kwamba chui alijeruhi mtoto wa miaka 10 na askari kadhaa.
Chui kuonekana mjini? Chui huondoka na swala kg 50+, hadi juu ya miti. Wetu anajeruhi watu? Chui gani huyu?
"Chui huyu siyo chui wa kufugwa aliyezowea kuletewa nyama za ng'ombe kwenye zoo fulani huko?"
Hakuletwa huyu makusudi ku ondoa attention ya watu na hoja ya magesi ya Oryx au yale mengine? Au zile hoja zingine zikiwamo zile nzito nzito za kutoana roho?
Kwa mwendo huu siyo tujiandae kuona mengi, almaarufu ya Mussa?
Tutafanya sherehe kubwa snwote waliwe kabisa
Uzaliwe 1975, 1977 umalize elimu ya msingi!Nimemaliza hapo Milongo Primary 1977 sijui kama hiyo shule bado ipo
1972 nilishiriki kuchimba handaki la Nyumbani 😂😂Uzaliwe 1975, 1977 umalize elimu ya msingi!
... sio jambo la Ajabu chui kuonekana hapo Mahina!
Chui ni mnyama msiri sana na mwenye uwezo mkubwa sana wa kuweza kuishi mahali popote kwa kula vinyama vidogo vidogo kama panya, mijusi, sungura na hata kuku, na ikitokea akapotea njia kutoka katika hifadhi anaweza, polepole, kujikuta Katikati ya jiji!
USISHANGAE KUKUTANA NA CHUI KINONDONI, DAR!
Kwanini umeleta hiyo habari huku upumbavu mtupu
Yaani wewe binafsi unataka kusema kwakuwa umesoma habari za chui kujeruhi watu Mahina, Jijini Mwanza tayari umesahau kuwa Lissu ana kesi ya Uhaini?
Kwani yule nyati aliyetokea movumoni karibu na wazo alitokea wapi? Kipindi cha nyuma kidogo
Mahina wala siyo mjini kati,ni kijijini tu huko miembe mingi.
Mshana Jr ufafanuzi tafadhali 🙏Umeelewa mada lakini ndugu?
,[Urlhttps://www.jamiiforums.com/threads/polepole-nilinusurika-kutekwa-katika-kipindi-cha-magufuli.2382883/[/url]
Wenye chui ni hao hao.
Acha mambo yako mkuu 🤣 🤣 yaani Chui Aishi kwa kula panya?... sio jambo la Ajabu chui kuonekana hapo Mahina!
Chui ni mnyama msiri sana na mwenye uwezo mkubwa sana wa kuweza kuishi mahali popote kwa kula vinyama vidogo vidogo kama panya, mijusi, sungura na hata kuku, na ikitokea akapotea njia kutoka katika hifadhi anaweza, polepole, kujikuta Katikati ya jiji!
USISHANGAE KUKUTANA NA CHUI KINONDONI, DAR!
Wenda huyo mtoto hakuwa top priority yake.Chui mwitiu mbeba swala mtini ataishia kumjeruhi mtoto peke yake wa miaka 10, usiku?