Podcast
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 842
- 1,032
Ilikuwa 2005 nilikuwepo CCM kirumba 😂Nchimbi ashatoka huko?
Wasukuma wachawi sana waliwahi kumvuta mguu rais naniliu 🐼
Ilikuwa 2005 nilikuwepo CCM kirumba 😂Nchimbi ashatoka huko?
Wasukuma wachawi sana waliwahi kumvuta mguu rais naniliu 🐼
Ubongo wako una mavi kuweka siasa hadi kwenye mambo yasiyo ya kisiasa. Ulitaka chui aue mtu ili ufurahi? Yaani wapinzani hamstahili kabisa kuingia ikulu kwa jinsi mlivyo wapuuzi.Chui aliyevamia makazi ya watu katika mtaa wa Usalama, Kata ya Mahina Jijini Mwanza na kujeruhi watu wanne, akiwemo mtoto wa miaka kumi, mwananchi mmoja na askari wawili wa Mamlaka ya Uhifadhi wa Wanyama Pori, amedhibitiwa na kuuawa kwa kupigwa risasi kufuatia operesheni iliyoendeshwa na askari wa Mamlaka ya Uhifadhi kwa kushirikiana na askari wa Jeshi la Polisi pamoja na wananchi.
Mwenyekiti wa mtaa huo amewataka wananchi kutoa taarifa kwa wakati pindi wanapoona wanyama wakali kwenye maeneo yao, kwani inasemekana baadhi ya wananchi walimwona chui huyo kwa muda mrefu bila kutoa taarifa mpaka alipoleta madhara.
Kwamba kumeonekana na kuwawa kwa chui mkubwa mjini Mwanza:
Kwamba chui alijeruhi mtoto wa miaka 10 na askari kadhaa.
Chui kuonekana mjini? Chui huondoka na swala kg 50+, hadi juu ya miti. Wetu anajeruhi watu? Chui gani huyu?
"Chui huyu siyo chui wa kufugwa aliyezowea kuletewa nyama za ng'ombe kwenye zoo fulani huko?"
Hakuletwa huyu makusudi ku ondoa attention ya watu na hoja ya magesi ya Oryx au yale mengine? Au zile hoja zingine zikiwamo zile nzito nzito za kutoana roho?
Kwa mwendo huu siyo tujiandae kuona mengi, almaarufu ya Mussa?
Hoja yako ina mashiko tena sana ila dah waTZ dah hudanganyika kwa vita vidogo sana si bure Mchonga aliambiwa na wakenya anaongoza maitiChui aliyevamia makazi ya watu katika mtaa wa Usalama, Kata ya Mahina Jijini Mwanza na kujeruhi watu wanne, akiwemo mtoto wa miaka kumi, mwananchi mmoja na askari wawili wa Mamlaka ya Uhifadhi wa Wanyama Pori, amedhibitiwa na kuuawa kwa kupigwa risasi kufuatia operesheni iliyoendeshwa na askari wa Mamlaka ya Uhifadhi kwa kushirikiana na askari wa Jeshi la Polisi pamoja na wananchi.
Mwenyekiti wa mtaa huo amewataka wananchi kutoa taarifa kwa wakati pindi wanapoona wanyama wakali kwenye maeneo yao, kwani inasemekana baadhi ya wananchi walimwona chui huyo kwa muda mrefu bila kutoa taarifa mpaka alipoleta madhara.
Kwamba kumeonekana na kuwawa kwa chui mkubwa mjini Mwanza:
Kwamba chui alijeruhi mtoto wa miaka 10 na askari kadhaa.
Chui kuonekana mjini? Chui huondoka na swala kg 50+, hadi juu ya miti. Wetu anajeruhi watu? Chui gani huyu?
"Chui huyu siyo chui wa kufugwa aliyezowea kuletewa nyama za ng'ombe kwenye zoo fulani huko?"
Hakuletwa huyu makusudi ku ondoa attention ya watu na hoja ya magesi ya Oryx au yale mengine? Au zile hoja zingine zikiwamo zile nzito nzito za kutoana roho?
Kwa mwendo huu siyo tujiandae kuona mengi, almaarufu ya Mussa?
Kwa hiyo ungefurahi mtoto kuliwa? Unajua tofauti kati ya swala na binadamu?Chui mwitiu mbeba swala mtini ataishia kumjeruhi mtoto peke yake wa miaka 10, usiku?
Wenda huyo mtoto hakuwa top priority yake.
Pia alikutwa na mama wa mtoto akiwa kwenye harakati za kumuandaa.
Kwa hiyo ungefurahi mtoto kuliwa? Unajua tofauti kati ya swala na binadamu?
Kuna mambo mengi yanayoweza sababisha akaishia kujeruhi tu hata angekuwa mtoto wa mwaka mmoja mf kama alikuwa ameshiba.Tufanye ni porini inakuingia wewe akili chui mwitiu kuishia kumjeruhi mtoto wa miaka 10?
Ubongo wako una mavi kuweka siasa hadi kwenye mambo yasiyo ya kisiasa. Ulitaka chui aue mtu ili ufurahi? Yaani wapinzani hamstahili kabisa kuingia ikulu kwa jinsi mlivyo wapuuzi.
Kuna mambo mengi yanayoweza sababisha akaishia kujeruhi tu hata angekuwa mtoto wa mwaka mmoja mf kama alikuwa ameshiba.
Chui hajàwahi kula binadam,kujeruhi binadam uwa nikujilindaChui aliyevamia makazi ya watu katika mtaa wa Usalama, Kata ya Mahina Jijini Mwanza na kujeruhi watu wanne, akiwemo mtoto wa miaka kumi, mwananchi mmoja na askari wawili wa Mamlaka ya Uhifadhi wa Wanyama Pori, amedhibitiwa na kuuawa kwa kupigwa risasi kufuatia operesheni iliyoendeshwa na askari wa Mamlaka ya Uhifadhi kwa kushirikiana na askari wa Jeshi la Polisi pamoja na wananchi.
Mwenyekiti wa mtaa huo amewataka wananchi kutoa taarifa kwa wakati pindi wanapoona wanyama wakali kwenye maeneo yao, kwani inasemekana baadhi ya wananchi walimwona chui huyo kwa muda mrefu bila kutoa taarifa mpaka alipoleta madhara.
Kwamba kumeonekana na kuwawa kwa chui mkubwa mjini Mwanza:
Kwamba chui alijeruhi mtoto wa miaka 10 na askari kadhaa.
Chui kuonekana mjini? Chui huondoka na swala kg 50+, hadi juu ya miti. Wetu anajeruhi watu? Chui gani huyu?
"Chui huyu siyo chui wa kufugwa aliyezowea kuletewa nyama za ng'ombe kwenye zoo fulani huko?"
Hakuletwa huyu makusudi ku ondoa attention ya watu na hoja ya magesi ya Oryx au yale mengine? Au zile hoja zingine zikiwamo zile nzito nzito za kutoana roho?
Kwa mwendo huu siyo tujiandae kuona mengi, almaarufu ya Mussa?
Ila huna taabu wana net kufungulia chui kutupoteza maboya?
Kwa taarifa yako chui pori ni huyu:
View: https://m.youtube.com/watch?v=7X5ruwlZVgo&pp=ygUXbGVvcGFyZCBhdHRhY2sgYW50ZWxvcGU%3D
Hao wa zoo wakae nao tu tmestuka!
Mshana Jr ufafanuzi tafadhali 🙏
Miaka kama 10 au 15 iliyopita kuna Kiboko Mkubwa aliuwawa Dodoma mjini maeneo ya karibu na Hospitali ya Mkoa (General).
Haya mambo yanatokea japokuwa ni nadra sana.
Ilitakiwa huyo Chui akutafune wewe
Wewe umeelewa?Umeelewa mada lakini ndugu?
,Polepole: Nilinusurika kutekwa katika kipindi cha Magufuli
Wenye chui ni hao hao.
Acha basi mzee, kwamba chui anaweza kuwa na akili ya kiintelijensia kali kuliko hata TISS ya tanganyika?... sio jambo la Ajabu chui kuonekana hapo Mahina!
Chui ni mnyama msiri sana na mwenye uwezo mkubwa sana wa kuweza kuishi mahali popote kwa kula vinyama vidogo vidogo kama panya, mijusi, sungura na hata kuku, na ikitokea akapotea njia kutoka katika hifadhi anaweza, polepole, kujikuta Katikati ya jiji!
USISHANGAE KUKUTANA NA CHUI KINONDONI, DAR!
Shikamoo babu..!Nimemaliza hapo Milongo Primary 1977 sijui kama hiyo shule bado ipo
Niliishi Isamilo Mlimani kwenye nyumba za Ridoch Motors Fisi walikuwa wengi sana wanatumika kiuchawi 😄😄
Kwanza tunaamini vipi kwamba huyo chui yuko mmoja tu hapo?Nchi za wenzetu hili tukio lingeambatana na.purukushani za chui akiwachezesha bilinge hao watu lkn huku gizani tunaletewa mahojiano ya wananchi jinsi tukio lilivyokuwa na mostly story huongezwa chumvi.