Chui aliyejeruhi watu wanne Mwanza auwawa kwa risasi. Hili ni tukio la kutengeneza?

Sisi mtandao wazee wa kutengeneza episod
 
Yaani wewe binafsi unataka kusema kwakuwa umesoma habari za chui kujeruhi watu Mahina, Jijini Mwanza tayari umesahau kuwa Lissu ana kesi ya Uhaini?
 
Nchi za wenzetu hili tukio lingeambatana na.purukushani za chui akiwachezesha bilinge hao watu lkn huku gizani tunaletewa mahojiano ya wananchi jinsi tukio lilivyokuwa na mostly story huongezwa chumvi.
 

Labda kuwe na sekeseke la uchaguzi na CCM jahazi linamwendea mrama
 
Kwanini umeleta hiyo habari huku upumbavu mtupu
 
Kwanini umeleta hiyo habari huku upumbavu mtupu

Upumbavu mtupu ni kutokuweza kufikiria nje ya box. Kawauliza wahuni kama hawatakwambia wako nyuma, tatu bila!

Bure kabisa!
 
Nimeangalia hilo tukio nikaona ni wakati Sasa Mwanza kupasua Yale mapango makubwa ya mawe mjini.

Kuna Yale yako mkorani karibu na relini, majambazi walikaa mule kuwaua tu iliwachukua karibu Jeshi zima la polisi na KWA sku nyingi ila Hadi Leo Kuna mapango makubwa ya mawe na marefu na ni mjini.


Kwa mule walikomuulia huyo Chui Kuna uwezekano mkubwa akakaa muda mrefu.

Ila nilichowaza mbona hakuna connection na pori ili tusema alisafiri akafika pale. Yaani katokea wapi.
 
Kwani yule nyati aliyetokea movumoni karibu na wazo alitokea wapi? Kipindi cha nyuma kidogo
 
Mahina wala siyo mjini kati,ni kijijini tu huko miembe mingi.
 
Kwani yule nyati aliyetokea movumoni karibu na wazo alitokea wapi? Kipindi cha nyuma kidogo

Chui mwitiu mbeba swala mtini ataishia kumjeruhi mtoto peke yake wa miaka 10, usiku?
 
Mahina wala siyo mjini kati,ni kijijini tu huko miembe mingi.

Tufanye ni porini inakuingia wewe akili chui mwitiu kuishia kumjeruhi mtoto wa miaka 10?
 
Acha mambo yako mkuu 🤣 🤣 yaani Chui Aishi kwa kula panya?
Hao panya anawakamatia wapi mjini kati?
 
Chui mwitiu mbeba swala mtini ataishia kumjeruhi mtoto peke yake wa miaka 10, usiku?
Wenda huyo mtoto hakuwa top priority yake.
Pia alikutwa na mama wa mtoto akiwa kwenye harakati za kumuandaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…