Chui aliyejeruhi watu wanne Mwanza auwawa kwa risasi. Hili ni tukio la kutengeneza?

Ubongo wako una mavi kuweka siasa hadi kwenye mambo yasiyo ya kisiasa. Ulitaka chui aue mtu ili ufurahi? Yaani wapinzani hamstahili kabisa kuingia ikulu kwa jinsi mlivyo wapuuzi.
 
Hoja yako ina mashiko tena sana ila dah waTZ dah hudanganyika kwa vita vidogo sana si bure Mchonga aliambiwa na wakenya anaongoza maiti
 
Tufanye ni porini inakuingia wewe akili chui mwitiu kuishia kumjeruhi mtoto wa miaka 10?
Kuna mambo mengi yanayoweza sababisha akaishia kujeruhi tu hata angekuwa mtoto wa mwaka mmoja mf kama alikuwa ameshiba.
 
Ubongo wako una mavi kuweka siasa hadi kwenye mambo yasiyo ya kisiasa. Ulitaka chui aue mtu ili ufurahi? Yaani wapinzani hamstahili kabisa kuingia ikulu kwa jinsi mlivyo wapuuzi.

Ubongo wako ni mavi yenyewe na hasa kuleta chui kwenye siasa baada ya kuzidiwa kete.

Bila shaka mnasuka na ajali ila mjue hatutatoka kwenye hoja.

Kuna mhusika mkuu hapa:

Polepole: Nilinusurika kutekwa katika kipindi cha Magufuli

RIP JKN, Maalimu Swift, BWM, JPM na wahanga wa wahuni hawa ambao kuachia chui Kwao haliwezi kuwa jambo kama litawaokoa.

Bure kabisa!
 
Kuna mambo mengi yanayoweza sababisha akaishia kujeruhi tu hata angekuwa mtoto wa mwaka mmoja mf kama alikuwa ameshiba.

Humo na mlolongo wote hata wa kuzukia mjini Mwanza Wala si Bunda, Simuyu, Magu, Lamadi nao imo?

Uliwahi kusikia usemi "ukimkuta mbwa au Kobe kwenye mti?"
 
Chui hajΓ wahi kula binadam,kujeruhi binadam uwa nikujilinda
 
Miaka kama 10 au 15 iliyopita kuna Kiboko Mkubwa aliuwawa Dodoma mjini maeneo ya karibu na Hospitali ya Mkoa (General).
Haya mambo yanatokea japokuwa ni nadra sana.
 
Miaka kama 10 au 15 iliyopita kuna Kiboko Mkubwa aliuwawa Dodoma mjini maeneo ya karibu na Hospitali ya Mkoa (General).
Haya mambo yanatokea japokuwa ni nadra sana.

Tokea Serengeti hadi Mwanza? Si Simuyu, Lamadi, Magu, Bunda wala Tarime!

Chui huyu kazoea watu. Ajeruhi tu.

Aonekana katikati ya kampeni zilizobuma za Nchimbi huko hali huku Polepole akiendelea kuwasanua watu.

Bado huoni tofauti ya hili na lako la kiboko?
 
Acha basi mzee, kwamba chui anaweza kuwa na akili ya kiintelijensia kali kuliko hata TISS ya tanganyika?
 
Nchi za wenzetu hili tukio lingeambatana na.purukushani za chui akiwachezesha bilinge hao watu lkn huku gizani tunaletewa mahojiano ya wananchi jinsi tukio lilivyokuwa na mostly story huongezwa chumvi.
Kwanza tunaamini vipi kwamba huyo chui yuko mmoja tu hapo?

Si ajabu kuna wengine wapo humo kwenye mapango, na bahati mbaya sana hili wazo la kuwatafuta hao wengine litakuja baada ya kujeruhiwa mtu mwingine na chui mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…