Pia usisahau aliyekuwa kiongozi wa wachawi alikuwa ni bibi yako kizaa mama yako, mbona hilo unaliacha kulisema mjinga wewe???Nimemaliza hapo Milongo Primary 1977 sijui kama hiyo shule bado ipo
Niliishi Isamilo Mlimani kwenye nyumba za Ridoch Motors Fisi walikuwa wengi sana wanatumika kiuchawi ππ
Umekasirika sana πΌπΌπPia usisahau aliyekuwa kiongozi wa wachawi alikuwa ni bibi yako kizaa mama yako, mbona hilo unaliacha kulisema mjinga wewe???
Kwanza tunaamini vipi kwamba huyo chui yuko mmoja tu hapo?
Si ajabu kuna wengine wapo humo kwenye mapango, na bahati mbaya sana hili wazo la kuwatafuta hao wengine litakuja baada ya kujeruhiwa mtu mwingine na chui mwingine.
Kawaida sana hiyo michezo kufanywa na chui. Ni mnyama hatari sana kwa mashambulizi ya haraka na kutokana na kasi aliyonayo mtu kumshtukia kama aliyempita kwa kasi ni chui sio rahisi.
Hao wenye kutunza vichaka wapewe muda wasafishe maeneo yao ikibidi kwa kufyeka na kuchoma moto
Unaweza kuta kaboko nae yupo mitaa hiyo
Sasa huo mlima ulio nyuma ya shule ya nyakahoja si ndo maskani yao!!Nimemaliza hapo Milongo Primary 1977 sijui kama hiyo shule bado ipo
Niliishi Isamilo Mlimani kwenye nyumba za Ridoch Motors Fisi walikuwa wengi sana wanatumika kiuchawi ππ
Huyo chui hatuhusu, kwa sasa mambo yote ni Humprey Polepole tu na #NoReformNoElection, tunataka wana CCM Mtandao wote wakamatwe na kuuliwa tu. #KwaniniKikweteBadoAnaishi #AchinjweRostamAziz #MzeMakambaAnasubiriNiniAsinyongweChui aliyevamia makazi ya watu katika mtaa wa Usalama, Kata ya Mahina Jijini Mwanza na kujeruhi watu wanne, akiwemo mtoto wa miaka kumi, mwananchi mmoja na askari wawili wa Mamlaka ya Uhifadhi wa Wanyama Pori, amedhibitiwa na kuuawa kwa kupigwa risasi kufuatia operesheni iliyoendeshwa na askari wa Mamlaka ya Uhifadhi kwa kushirikiana na askari wa Jeshi la Polisi pamoja na wananchi.
Mwenyekiti wa mtaa huo amewataka wananchi kutoa taarifa kwa wakati pindi wanapoona wanyama wakali kwenye maeneo yao, kwani inasemekana baadhi ya wananchi walimwona chui huyo kwa muda mrefu bila kutoa taarifa mpaka alipoleta madhara.
Kwamba kumeonekana na kuwawa kwa chui mkubwa hivi mjini Mwanza?!
Kwamba chui alijeruhi mtoto wa miaka 10 na askari kadhaa.
Chui kuonekana mjini? Chui huondoka na swala kg 50+, hadi juu ya miti. Wetu anajeruhi watu? Chui gani huyu?
"Chui huyu siyo chui wa kufugwa aliyezowea kuletewa nyama za ng'ombe kwenye zoo fulani huko?"
Hakuletwa huyu makusudi ku ondoa attention ya watu na hoja ya magesi ya Oryx au yale mengine? Au zile hoja zingine zikiwamo zile nzito nzito za kutoana roho?
Kwa mwendo huu siyo tujiandae kuona mengi, almaarufu ya Mussa?
Huyo chui hatuhusu, kwa sasa mambo yote ni Humprey Polepole tu na #NoReformNoElection, tunataka wana CCM Mtandao wote wakamatwe na kuuliwa tu. #KwaniniKikweteBadoAnaishi #AchinjweRostamAziz #MzeMakambaAnasubiriNiniAsinyongwe
Diversion of the trending hot topics
Ni kama tukio la bomu six months ndani inside.
Inawezekana lakini, Mahina kuna mawe na mapango mengi makubwa makubwa
Hao jamaa wapo tayari kuua ili mradi wadivert mambo.Hadi Oct 29 episode zitakuwa moja baada ya nyingine
Hao jamaa wapo tayari kuua ili mradi wadivert mambo.
ULIKUKWEPO??Chui aliyevamia makazi ya watu katika mtaa wa Usalama, Kata ya Mahina Jijini Mwanza na kujeruhi watu wanne, akiwemo mtoto wa miaka kumi, mwananchi mmoja na askari wawili wa Mamlaka ya Uhifadhi wa Wanyama Pori, amedhibitiwa na kuuawa kwa kupigwa risasi kufuatia operesheni iliyoendeshwa na askari wa Mamlaka ya Uhifadhi kwa kushirikiana na askari wa Jeshi la Polisi pamoja na wananchi.