Chuki binafsi ya Haji Manara kwa Shaffi Dauda inatokana na nini?

Chuki binafsi ya Haji Manara kwa Shaffi Dauda inatokana na nini?

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,023
Unaweza kuniuliza kwanini nasema chuki binafsi, Haji hataki Dauda aikosoe Simba kwa namna yoyote ile

Wachambuzi wengi wanatoa maoni yao juu ya Simba na Haji asemi chochote ila kwa Dauda ni ugomvi

Licha ya mapungufu ambayo Shaffi anayo ni ubinadamu tu, Haji huwezi kumzuia kutoa maoni yake kama mchambuzi. Hata yeye Haji uwa anakosoa na anatoa maoni yake mara nyingi tena kwa kejeli

Kwann Dauda tu? Huwezi kuzuia ukweli Simba ni underdog katika kundi lao huo ndio ukweli. Je, unataka usisemwe?

Shida ya Haji ni jeuri, kiburi, majivuno na ujuaji mwingi ili lazima akubali na anatakiwa kujirekebisha, ukimsikiliza wakati anahojiwa na media huwa anajibu kijeuri sana. Mbaya zaidi ajijui kama anamatatizo hayo niliyotaja..

Najua unapita JF au wapambe wako acha kujifanya TFF. Simba ni club ya Wananchi umeikuta na utaiacha, acha watu watoe maoni yao bila kuvunja sheria ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Jirekebishe....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani unaandika ukiwa tayari una majibu mfukoni sambamba na kuiponda Simba halafu unakuja kuuliza hapa JF. Halafu hapo hapo unamkosoea Dauda kuwa ana mapungufu, sasa huoni kuwa Manara yuko sahihi kukosoa uchambuzi wake..!

Mbona hueleweki, mbona unateseka?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata we unamapungufu km binadamu ,km dauda alivyokuwa na mapungufu...sasa kwann haji anataka kumzuia dauda hasifanye kazi yake km mchambuzi...?
Pia tambua kuna ukweli na kuponda unataka kuniambia simba sio underdog kwenye kundi lile?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata we unamapungufu km binadamu ,km dauda alivyokuwa na mapungufu...sasa kwann haji anataka kumzuia dauda hasifanye kazi yake km mchambuzi...?
Pia tambua kuna ukweli na kuponda unataka kuniambia simba sio underdog kwenye kundi lile?

Sent using Jamii Forums mobile app
Matumizi ya h yanatuzuia kusoma post zako.Fanyia kazi mkuu, tatizo linazidi kuwa kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom