IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,023
Unaweza kuniuliza kwanini nasema chuki binafsi, Haji hataki Dauda aikosoe Simba kwa namna yoyote ile
Wachambuzi wengi wanatoa maoni yao juu ya Simba na Haji asemi chochote ila kwa Dauda ni ugomvi
Licha ya mapungufu ambayo Shaffi anayo ni ubinadamu tu, Haji huwezi kumzuia kutoa maoni yake kama mchambuzi. Hata yeye Haji uwa anakosoa na anatoa maoni yake mara nyingi tena kwa kejeli
Kwann Dauda tu? Huwezi kuzuia ukweli Simba ni underdog katika kundi lao huo ndio ukweli. Je, unataka usisemwe?
Shida ya Haji ni jeuri, kiburi, majivuno na ujuaji mwingi ili lazima akubali na anatakiwa kujirekebisha, ukimsikiliza wakati anahojiwa na media huwa anajibu kijeuri sana. Mbaya zaidi ajijui kama anamatatizo hayo niliyotaja..
Najua unapita JF au wapambe wako acha kujifanya TFF. Simba ni club ya Wananchi umeikuta na utaiacha, acha watu watoe maoni yao bila kuvunja sheria ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jirekebishe....
Sent using Jamii Forums mobile app