Chuki binafsi ya Haji Manara kwa Shaffi Dauda inatokana na nini?

Haji vs Shafi dauda.
Hawa wote wana upeo mdogo pia lugha zao si nzuri ni zenye krbehi na dharau wakati hawana lolote! Ni wachumia tumbo tu.
 
Haji vs Shafi dauda.
Hawa wote wana upeo mdogo pia lugha zao si nzuri ni zenye krbehi na dharau wakati hawana lolote! Ni wachumia tumbo tu.
 
Nikikuita mpumbavu nitakuwa nimekosea? Pale hakuna bifu ni urafiki tu na kinachoendelea kinafanyika ili shaffih dauda avune followers tena mabifu waga mnayo ninyi mashabiki maandazi.
.
Kwenye bifu za akili kama hizi ni wapumbavu tu ndo huwa wanaropoka hovyo wenye akili huendelea na mambo yao,ni kama bifu la nick minaj na Card B ilikuwa iko kibiashara zaidi na nilazima mmoja aonekane mnyonge ili kitu fulani kiende.
 
Nani katukana km sio we unajiona bora kuniita mpumbavu...we bwege nn...then mi mkubwa kuliko we pili swala la pesa halina kipimo ....ujuaji mwingi ndio unawaponza wakati mmesomea vyuo vya kata...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haji ana ulemavu wa akili. Nakumbuka ilikuwa hivi hivi kwa Edo Kumwembe aliposema Simba haina "wanaume" wakati huo Yanga ikiwa na akina Ngoma on fire.
 
Usemaji wa vilabu tanzania ni vituko sana,ni lazima uwe na tambo na mipasho,kana kwamba ni kazi ya ukatibu uenezi,Thobias Kifaru wa mtibwa sugar ndo mwanzilishi wa hizi tambo,wakaja kina Jerry Muro , Manara na Masau Bwire.Ndo maana hata wanapojibu hoja ni kwa mipasho tu ,hakuna weledi wowote wala si mawazo ya benchi la ufundi.Msemaji wa sasa Yanga ni Bora kuliko wote,na hata Sngida United kidogo.
 
Haji ana ujuaji mikogo kujifanya born town anapenda kukashifu wengine wkt huo yeye sio mvumilivu akili zake ni kama Jerry Murro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…