Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote kwa yote unadhani ni sahihi haji kumzuia dauda kufanya kazi yake km mchambuzi?Haji vs Shafi dauda.
Hawa wote wana upeo mdogo pia lugha zao si nzuri ni zenye krbehi na dharau wakati hawana lolote! Ni wachumia tumbo tu.
Aiseeee! Acha kunionyeshea utotowako mdogo wangu, hujui lolote kunihusu hapa tunaweka hoja na si matusi, nimekwambia nikikuita mpumbavu nitakuwa nimekosea?
Unahabari pesa alizonazo haji wewe na ukoo wenu wa waliopo hai na wafu hamjawahi kuwa na fedha kama zake?
Kuwa mjanja kidogo hizi trick uzielewe au mtembelee haji mikocheni siku za jumamosi usipokutana na shaffih njoo uandike upumbavu wako tena.
Haji ana ulemavu wa akili. Nakumbuka ilikuwa hivi hivi kwa Edo Kumwembe aliposema Simba haina "wanaume" wakati huo Yanga ikiwa na akina Ngoma on fire.Unaweza Kuniuliza kwann nasema chuki binafsi..haji hataki dauda aikosoe simba kwa namna yoyote ile...
Wachambuzi wengi wanatoa maoni yao juu ya simba na haji asemi chochote...ila kwa dauda ni ugomvi...
Licha ya mapungufu ambayo shaffi anayo ni ubinadamu tu..haji huwezi kumzuia... Kutoa maoni yake km mchambuzi cz ata yeye haji uwa anakosoa na anatoa maoni yake Mara nyingi tena kwa kejeri ni haki yake ...
Kwann dauda tu...? uwezi kuzuia ukweli simba ni underdog katika kundi lao uo ndio ukweli ..je unataka husisemwe?
Shida ya haji ni jeuri,kibri,majivuno na ujuaji mwingi ili lazima akubali na anatakiwa kujirekebisha..ukimsikiliza wakati anahojiwa na media uwa anajibu kijeuri sana...mbaya zaidi ajijui km anamatatizo hayo niliyotaja..
Najua unapita jf au wapambe wako acha kujifanya TFF ...simba ni club ya wananchi umeikuta na utaiacha..acha watu watoe maoni yao bila kuvunja sheria ya jamhuri ya muungano wa TZ...
Jirekebishe....
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliomba usemaje wa simba, manara akamindKuna MTU nilimsikia anasema "eti dauda alishawahi kugombea sijui kitengo gani simba chenye masirahi sawa na manara"
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo liko hapo.
Very poor "msemaji wa club"View attachment 981331
View attachment 981333
Sijamsikia akimkosoa January Makamba kwa hiki alichokosolewa, na ni wazi Manara ni Mweupe sana kichwani.
Dismas Ten ni nani?. Naomba kuelimishwa
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE
Ni msemaji wa Timu ya Yanga.Kama huna hobby ya mpira wa miguu tafuta uzi mwingine.