Chuki dhidi ya January Makamba inatoka wapi?

Masikini tuna shida sana.Chuki zisizo na maana tu
 
1. Ana uwezo mdogo
2. Anapendelewa/ kubebwa
3. Ni jeuri
Umasikini ni mbaya sana.Unamchukia kisa kuwa moto wa mkubwa kupewa madaraka!We ulitaka apewe nani?Mara nyingi ni rahisi sana mtoto kurithi au kufanya kazi au fani ya baba.Mbona kuna madoctor wamewawezesha na watoto wao kuwa madoctor na hamuwasemi?Hujui kuwa panya wa msikitini watakula mikeka?Tafuteni hela acheni chuki.Majeneral kibao wamewaingiza watoto wao jeshini,mbona hamusemi?
 
Hilo ni magufuli ndo alofanikisha Hana zuri lolote ndomana anakulipeni chawa km ww na waganga kiumsafishia njia ya kupata madaraka zaid
Magufuli ndiye aliyekomesha mifuko ya plastic!!Wakati anamuondoa kwenye uwaziri alikosa sababu ya kueleza,akasema hajasimamia vizuri suala la mifuko ya plastic wkt watanzania wote tulishuhudia jinsi alivyolisimamia
 
Makamba hana uwezo wowote full STOP. ZIngine mbeleko tu
 
Magufuli ndiye aliyekomesha mifuko ya plastic!!Wakati anamuondoa kwenye uwaziri alikosa sababu ya kueleza,akasema hajasimamia vizuri suala la mifuko ya plastic wkt watanzania wote tulishuhudia jinsi alivyolisimamia
Waapi acha kupindisha mambo hamna mtu mle. Kwanza matokeo yake wanasema kabahatisha bahatisha tu kama NAPE
 
Ni Moja ya vilaza waliojipatia ajira kwa connection
 
HUYO HAFAI KABISAA

Hata Ukuu tu wa Wilaya hafai

Yaaani ni bora tumpe Msukuma nchi kuliko huyo kipara
 
Nauliza wale wanaccm mliomfikisha kijana wenu January Makamba karbu na kileleni, yaan top 5 Enzi za Kura za maoni mpo wapi?

Nimewaza Sana miongoni mwa mawaziri WA mama wasio na Raha ni January Makamba, nawaza hivyo maana Naona yeye anashambuliwa Sana mitandaoni na Hana mtetezi
Nauliza nyie mlio mfikisha kileleni na yeye akapandisha mabega mpo wap?

Je kuna ukweli yakuwa walio mpandisha January Makamba walivurugwa na Mwendazake?
Km ili nalo ni kweli January Makamba na mwiguru Mchemba mna kazi kubwa ya kujijenga upya, je ntaweza?
Makundi na wajumbe NI watu wabaya sanaaa Ila Makamba usijari nafasi uliyoipata inafaa kujijenga upya.
 
Yaani akae kwenye Nishati muda wote huo, baadaye 'atumbuliwe' kwa kuhamishiwa mambo ya nje halafu nyie mje kuwaamba habari za eti 'hana raha?' Hivi hao watanzania wenzenu mnaowaandikia kuwahabarisha huwa mnawaonaje?
 
Kama huyu zero brain wao ameweza yeye atashindwaje? Tanzanio hata Jiwe laweza ongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…