Chuki dhidi ya January Makamba inatoka wapi?

Ni Kweli nape Ana fom four ya 30 Sasa mm nitashindwa nn na two yangu ya ole level
 
Nina wasiwasi makamba akiingia ikulu ataihamisha Tena serekali kwenda magogini
 

Padre Privatus Kalugendo amekufa akiwa bado hajalipwa hata senti ya jasho lake.
Alitumia muda na akili kubwa kuandika kitabu cha kumjenga Januari Makamba.
KItabu kinaitwa: "Maswali 40, Majibu 40: Mazungumzo na January Makamba Kuhusu Tanzania Mpya" (Nimeambatanisha)
Lakini Makamba hakumlipa kitu hadi leo.
Priva yupo kaburini.
Hata kwenye msiba wake hakufika.
Kuna mengine mengi mabaya kama hilo.

 

Attachments

nenda jimboni kwake bumbuli ndio utaelewa Kuwa huyu jamaa hafai hatakuwa mjumbe wanyumba kumi.

Miaka karibu ishirini hajajenga hata hatuamoja yalami ambavyo akienda kuwaomba ubunge anawaahidi kuwajengea lamí[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabla ya hapo alikuwa betrice shelukindo alikuwa Hapo kwa Muda mrefu je yey alifanya nn Cha maaana
 
February ni corrupt sana. Hana maana.
 
Ushahidi unaanzia hapa:
1. wizi wa Mitihihani- waulize baraza la mitihani waliothibitisha wizi huo huko Galanos na kumfutia matokeo yake na yeye Kuelekea Forest
2. Wizi wa Kura za Uraisi- waulize Chadema waliosema yeye na Nape walishiriki na kuwa na separate tallying centre na kuchakachua matokeo ya Uraisi.
3. Mgao wa umeme na kushamiri kwa magenerators.

Hayo yakirekebishwa, atakuwa safi tu- lakini maadam wizi ulianzia Galanosi secondary, umeendelea hadi huko aliko kwa jinsi anavyotuhumiwa na wahasimu wake
 
Nilileta Uzi hapa kuhoji je Nani mwenye kalbar ya kimagufuli tumpe nchi 2025
 
Nina wasiwasi makamba akiingia ikulu ataihamisha Tena serekali kwenda magogini
Makamba Jr hana tofauti na JK, na kwa taarifa za ndani baada ya Marope anayefuata na Riz.

Tuendelee kunywa mtori
 
Mungu atatuleteaaa mtu tofauti na hayo majamaa
Sidhani kama Msoga watakubali yatokee kama ya 2015.

Baada ya miaka 5 au 10 ijayo yeye ndiyo ataonekana kama Baba wa Taifa maana ndiyo atakuwa ana 80+ kwahiyo bado atakuwa na influence kwenye Serikali.

Labda yatakee mengine hapa katikati
 
Kaka mtoto wa nyoka ni nyoka tu...elewa neno nyoka"...kengine ni kwamba wizara zake babaaaa wizara babbaaaa anazoongoza....mbona watanzania bado tupo na ulembukeni hvi au unaona Ile baby face yake basiii!! Unaona fresh mwadilifu sio. Magufuli alimpumzisha aujui kwanin alifanya hivyo...sabuni kipnde 700 dawa ya mswaki ndogo buku na 200 mafuta juzi yamepanda Bei tukienda Kwa mabenk ndo usiseme...na maisha yetu ayapandi..Bora na hela ingekuwa tunapata kiurahisi basi ...yani Amna ata ajira za kudumu elimu yetu imesimama Amna kipya mashuleni sylabuss ya mzungu hehehehe sema Wacha tukae tu ..we are africans
 
Ni mwizi. Hata mtoto mdogo anajua
 
Chuki dhidi ya Jan Makamba inathibitisha msemo "hasidi hana sababu".
1. Hivi kukiwa na ukame mabwawa ya kufua umeme yakakosa maji na njaa ikaingia waziri wa nishahti na waziri wa kilimo walaumiwe?
2. Ikiwa ni kweli January aliiba mtihani zaidi ya miaka 30 iliyopita, apewe hukumu ya maisha asipate cheo chochote? Wewe unayekomalia kosa la wizi wa mtihani u mtakatifu kiasi gani?
3. Kuhusu level ya elimu hivi unajua katika mawaziri wakuu 57 wa UK hadi Oct.2022 zaidi ya 75% wamepitia vyuo vya Oxford na Cambridge, lakini Winston Churchill ndiye Waziri Mkuu aliyeokoa Uingereza katika vita Kuu ya pili-WWII? Huyu Churchill hakuwa na hata A level. "W.Churchill saved Britain in its darkest hour." Kwenye siasa elimu ni muhimu lakini kuna sifa nyingine muhimu zaidi.
4. Hivi waziri wa nishahti wajibu wake ni Tanesco tu, na awe anavunja bodi ya Tanesco kila umeme unapokatika katika?
 
1. Ana uwezo mdogo
2. Anapendelewa/ kubebwa
3. Ni jeuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…