Chuki dhidi ya January Makamba inatoka wapi?

Hakuna anayemchukia KIPARA, yule Bwana ni Kilaza so watu wanamdharau, tofautisha Chuki na Dharau
 
Hii hali inakera Sasa. Ikibidi watanzania tuache unafiki. Utasikia wizara alizokaa Makamba hajafanya kitu. Naomba mnitajie mawaziri mnaoona wamefanya hayo mazuri mnayosema Makamba hajafanya lakini wenzie wamefanya

Acheni unafiki watanzania, mnamuandama mwenzenu bila sababu ya msingi

Acheni kabisa huo unafiki wenu
 
Sometimes tunakua na chuki binafsi na majungu. Simtetei lakini lawama nyingine huwa anapewa asizostahili.
 
Small minds discuss people..!
 
Attention aliyozoea kuitafuta kutaka aonekane yeye ni zaidi ya wengine ndio inayomfanya aandamwe, akiwa kimya, low key, hana habari, hauzi sura hovyo mbele za watu, hakuna atakayehangaika nae, lakini ukijidai mjuaji zaidi ya wengine ndio unafanya wengi waanze kujiuliza, hivi huyu anastahili kuwepo hapo alipo? kwa performance gani aliyonayo?

Jibu linakuja anabebwa tu kwasababu ya urafiki kati ya baba yake na viongozi wa hili taifa.
 
Sawa swali la msingi kwani wewe unaumia Nini au umeathirika vipi Hadi ukasilike hivyo? Kwa Nini yeye hajatuuliza ametukosea Nini Hadi tumuandame? Kwa kuwa yeye haoni shida Wala tatizo sisi kumchukia basi hata hayo majibu yetu hayahitaji. Sasa wewe hayo majibu yatakusaidia Nini? Na kwa Nini utuchukie sisi kwa niaba ya mtu mwingine ambae hajari?
Kwa kifupi wewe ni ..............., Ngoja niachie wenzangu wamalizie.
 
Ungeanza kwa kututajia legacy ya Makamba TANESCO , tungekuona una akili sana, lakini sasa hivi kumbe nawe ni mbugila tu.
 
Mwaka jana Tanesco imeunganisha umeme wateja laki tano. Haijawahi kutokea katika historia ya nchi hii.

Investment ya Trillion 80 zinakuja kwenye LnG Lindi. Haijawahi kutokea katika historia ya nchi hii.

Sheria ya Nishati safi ya Kupikia ambayo ina malengo baada ya miaka kumi hakuna mambo ya kuni tena. Think mabadiliko ya tabia nchi na miaka. Haijawahi kutokea nchi hii.

Yote haya yametokea chini ya uongozi wa Waziri Makamba.


Na ndio alipiga marufuku mifuko ya plastic pia.


Naona anaandamwa kwa sababu yuko tofauti sana na hawa wengine. Style, substance, Na kinachomcost pia ni jina la Makamba.
 
Ngonjera tupu ,ukiomba uonyeshwe hao watu utasubiri sana
 
Huyu mumeo kafanya nini pale nishati? gas, umeme kukatika, mafuta juu ndiyo maaendeleo kwa vile pale kwenu kuna generetor la TANESCO?
 
Katika historia ya nchi hii, Tanesco haijawahi kuunganisha wateja 500,000 kwa mwaka never happened.

Katika historia ya nchi hii, hakuna KM nyingi za Transmission lines zimelazwa kama wakati wa Makamba.

Sijaongelea mkataba wa Trilioni 80 umeisha mnakuja kuwa na uchumi wa gas, miaka yote mlishindwa hata kupata balls za kukaa na wazungu mezani.



Halafu tunamzungumzia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa hapa. Mtu mzito n🤣🤣
 
Hili ndiyo jibu hakuna la maana kafanya zaidi ya urafiki wa baba ake na viongozi wa juu
 
Hakuna anaye mchukia, tunataka umeme.
 
Ngonjera tupu ,ukiomba uonyeshwe hao watu utasubiri sana
Hizo ni legacy numbers kijana. Ngonjera ni nyie mmetumwa kuja kutukana watu tu humu kwa vipande sabini vya fedha bila ushahidi wala chochote.
 

Ule uwongo uwongo wake wa punde tu alipoteuliwa kuwa waziri wa umeme kwenye awamu ya sita.
 
Kama uko naye karibu mwambie ajirekebishe kwa nin yey tu. Kila mtu anamapungufu na mapungufu hayo yanatofautiana, Wizara zipo nyingi ila utasikia Makamba na Nape hawazungumzi vizuri na raia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…