Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,176
- 10,068
Hakuna anayemchukia KIPARA, yule Bwana ni Kilaza so watu wanamdharau, tofautisha Chuki na DharauJanuary Makamba, mtoto wa Katibu Mkuu mstaafu wa CCM amekuwa akiandamwa katika mitandao mingi ya kijamii na kujaribu kuaminisha umma ya kuwa ni mtu hafai katika uongozi.
Binafsi Makamba nilimuona wakati wa utawala wa Kikwete akiwa ni mmoja wapo wa wasaidizi wa Rais Kikwete.
Mwenye ushahidi wa wazi kuhusu mabaya yake atuwekee hapa ingawa mimi namuona ni mtu humble, focused na mwenye uvumilivu.