Chuki na uchochezi wa Dr. Bashiru Ally kwa serikali ya Rais Samia

Daudi Mchambuzi naomba usikilize clip hii kwa umakini, then naomba comment yako
 
Haki za wakulima zinadaiwa kwa kuuza gunia 20,000?

Mkulima anakombolewa kwa kimkandamiza na kumfaidisha bwanyenye wa Mjini.

Eti Anaupiga mwingi 😂😂😂😂 kumbe jamaa bado anaumia kwa kupigwa chini..
 
Bashiri kwa sasa amerudia kuwa mjamaa. Anawahimiza wakulima waungane dhidi ya watawala wanyonyaji.

Haya anayotamka asingeweza kuyatamka enzi akiwa madhabahuni mwa awamu ya 5. Huyu mtu ni kigeugeu sana
Alilewa mvinyo wa madhabahuni enzi hizo (za shetani jiwe) hata akafikia kusema ccm itumie dola kubakia madarakani.

Sasa mvinyo umekauka anabwata na na kubwabwaja hovyo Mwanaizaya huyu
 
Case closed
 
Kiongozi dhaifu lazima aajiri mamluki wa kupigia debe mitandaoni na kwenye media za kichawa. Kizuri chajiuza ila kibaya hujitembeza
 
Bashiri kwa sasa amerudia kuwa mjamaa. Anawahimiza wakulima waungane dhidi ya watawala wanyonyaji.

Haya anayotamka asingeweza kuyatamka enzi akiwa madhabahuni mwa awamu ya 5. Huyu mtu ni kigeugeu sana
Huyu ni popo!
 
Wewe kwa akili yako ya kawaida unaona nchi inaendelea au inarudi nyuma? Twende mbele turudi nyuma,magufuli hakuwa malaika ila alifanya makubwa
makubwa ya kuuwa watu, makubwa ya kupora hela za watu, makubwa ya kumpiga lissu risasi, kifupi magufuli alikuwa mbwa kabisa na shetani
 
Na bado tutaona na kusikia mengi hadi kufika 2025 na bado Job nae anahasira sana na Wakuupiga mwingi
 
Ndo mkome kununua WAPINZANI mkiamini mtanunua na UPINZANI ulio ndani ya NAFSI zao😠😠😠😠
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…