Chuki na uhasama ndani ya CCM tusipochukua hatua watatuletea vita ya wenyewe kwa wenyewe

Na wale waliotenda uhalifu dhidi ya raia toka 2016 watubu ili wasalimike
 
Eti watatuletea vita vya wenyewe kwa wenyewe....mnaikuza sana CCM na ndo maana hata report ya CAG hawana habari nayo

Sent from my SM-A507FN using JamiiForums mobile app
 
Na wale waliotenda uhalifu dhidi ya raia toka 2016 watubu ili wasalimike
 
Kwenye andiko lako ushatoa majibu... Na maelekezo ya nini kifanyike!
Kazi kwao!
 
Waliopigwa risasi hadharani, waliofilisiwa, walioporwa haki ya kuchagua viongozi baada ya kuporwa mchakato wa uchaguzi 2020. Waliouliwa
Awamu gani hayo hayakutokea?poleni Kwa msiba lakini
 
Muovu akitendewa uovu anaumia sana!
 
Waliopigwa risasi hadharani, waliofilisiwa, walioporwa haki ya kuchagua viongozi baada ya kuporwa mchakato wa uchaguzi 2020. Waliouliwa
Weka RB za polisi na CrC za mahakama ulikoenda kushitaki ili haki ipatikane kwa tuhuma hizo hewa ziko wapi? Weka hapa ushahidi wote kila mmoja achambue na kutathimini ukweli wako
 
Acha wadundane,...Mungu anataka kutengeneza Nchi baada ya Manundu.
 
Weka RB za polisi na CrC za mahakama ulikoenda kushitaki ili haki ipatikane kwa tuhuma hizo hewa ziko wapi? Weka hapa ushahidi wote kila mmoja achambue na kutathimini ukweli wako
Kwa wapuuzi wenye hoja za kipumbavu. Wako wapi akina Ben Saanane?
Kutetea upumbavu lazima uwe mpumbavu kuuzidi
 
Hao wanao jiita usalama wa taifa wangekuwa wanafanya majukumu yao kama wanavyo takiwa mambo mengi sana yangekuwa yanamalizwa kablabya kutokea lakin kwa kuwa nao wamekuwa wafuasi wa watu na sio taifa ndio maana tutaona vituko haswaa na wao wakiwepo
 
 
Nyie makamanda uchwara subirini siku yule jamaa anayechechemea afe ndio mtajua hamjui. Msianze kujitetea mapema😂😂
 
Awamu ipi walikuwa wanapigwa risasi na kutekwa na wasiojulikana?
Mnajificha kwenye lundo la oxygen msionekane?
Awamu ya Kikwete, wengine walipigwa mabomu wakasambaratika, wengine walipigwa wakapelekwa msituni, wengi tu walipigwa. Huu ni mwanzo kwa nyie wauaji, mafisadi, watu wa Team Ile ya Pwani. Naamini huu ni mwanzo tu kwa waliosababisha kufariki kwa Magufuli.
 
Awamu ya kikwete wengine walipigwa mabomu wakasambaratika,wengine walipigwa wakapelekwa msituni wengi tu walipigwa.huu ni mwanzo Kwa nyie wauaji,mafisadi watu wa Team Ile ya pwani naamini huu ni mwanzo Tu Kwa waliosababisha kufariki Kwa Magu.
Wewe mpuuzi mimi siyo CCM na sijawahi kuwa na laana ya kuwa CCM, ila dikteta Magufuli alikuwa na kikundi cha wasiojulikana. Ukatili wa kutisha kuvunja katiba kwa kuzuia shughuli halali za kisiasa, wapinzani kupigwa kuuliwa na kunyimwa haki zao na kufilisiwa.

Sasa tunafanya siasa, hatutekwi, polisi walau wana hekima. Nyie wapuuzi wa CCM uaneni mtajijua na laana zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…