Chuki na uhasama ndani ya CCM tusipochukua hatua watatuletea vita ya wenyewe kwa wenyewe

Wewe mpuuzi mimi siyo CCM na sijawahi kuwa na laana ya kuwa CCM, ila dikteta Magufuli alikuwa na kikundi cha wasiojulikana. Ukatili wa kutisha kuvunja katiba kwa kuzuia shughuli halali za kisiasa, wapinzani kupigwa kuuliwa na kunyimwa haki zao na kufilisiwa.

Sasa tunafanya siasa, hatutekwi, polisi walau wana hekima. Nyie wapuuzi wa CCM uaneni mtajijua na laana zenu
Niombe Radhi Mimi mwenyewe sijawahi kuwa CCM Ila nyie wapinzani ni CCM b.labda nyie wapinzani mlikuwa mkitumika kukwamisha serikali yake akakasirika maana wapinzani wa Tanzania ni ovyo.
 
Ni wapumbavu wa CCM tu tena sukumagang wanaoweza kumtetea shetani Magufuli
 
Aisee hali ni tete ndani ya kile chama kilichotamba kwa miaka mingi kuwa ni chama chenye umoja, mshikamano, chenye kuheshimu utu na watu.

Sasa ni mambo ya kuviziana tu. Imefika mahali mwwnachama huyu anataka mwanachama mwenzake afe.

Hii si jambo la kuhendekeza hata kidogo. Chuki na uhasama vimepamba moto.

Ni ccm vs ccm. Wanachogombania ni kile kile
a/ Mgawanyo wa madaraka usio linganifu, hawa wanadae wale wanapewa sana kuliko sisi.

b/ Upendeleo ktk kutoa fursa sawa za kiuchumi. Kundi moja linadhani linafaidi uchumi wa nchi kuliko lingine.

c/ Ndani ya chama upendeleo umezidi kiasi mmoja anaona anamdhulmu mwingine. Inafika hatua sasa hata wajumbe wenye mashina yao wanaowafahamu wagombea wao vizuri hawapewi nafasi ya kupendekeza mgombea sahihi badala yake mgombea anachaguliwa kutoka juu( hili tulionya sasa matunda yake yamekomaa). Mtalinywa.

Matukio yaliyotokea hivi karibuni yameibua hisia za ajabu sana. Kwetu sisi watazamaji tunaona jambo hili sio sawa.

Wote ni wa chama kimoja lakini wanasagiana kunguni kama hawajuani. Kila mmoja anamuona mwenzake ni shetani.

Matukio ya Kufariki Hayati Dr Magufuli, Kufungwa Sabaya, Kushtakiwa Musiba na Kifo cha Membe nadhani Deep statw mnaona kinachoendelea na mnajua solution ni nini. Msijifanye hamuoni. Taifa litatumbukia.

Sasa imefika kuna kundi linaona halina cha kupoteza lolote na liwe ilimradi litaumiza mahasimu bila kujali taifa litaathirika.

Mh Rais kama maridhiano basi yaanze ndani ya chama chako hali ni mbaya. Kuanzia viongozi wa juu hadi wanachama wakawaida.

Nimepitia social media naona wanavyosagiana kunguni najiuliza hawa woote si wachama kimoja?

Kama wanafanyiana hivi je itakuwaje kwa mtu mwenye itikadi tofauti nao?

Je shida ni maslahi? Ni Umaskini? Ni maisha magumu au ni ujinga??

Au kuna mtu anapandikiza haya?
Eti kufungwa Sabaya 😅😂🤣🤣🤣
 
Niombe Radhi Mimi mwenyewe sijawahi kuwa CCM Ila nyie wapinzani ni CCM b.labda nyie wapinzani mlikuwa mkitumika kukwamisha serikali yake akakasirika maana wapinzani wa Tanzania ni ovyo.
😅😅😅
 
Vyombo vy dola vifsnye uchunguzi kujua mzizi wa hili tatizo hawa jamaa wasije wakatuletea Civil war
Chanzo kinajulikana ni kile kilichoitwa asali na makamba, na kundi dogo linalotaka kujimilikisha.

The solution is wiping them out, that simple.
 
Wiping tena? We unata intarahamwe wa Rwanda
 
Kwanini kundi la watu wasiofika hata alfu waachwe kuwatesa mamilioni?
Unadhani kwani kundi dogo hivyo lina nguvu kuzidi watu mamilioni?

Ukitaka kupambana na adui lazima kwanza ujue nguvu na uwezo wake.
 
Aisee hali ni tete ndani ya kile chama kilichotamba kwa miaka mingi kuwa ni chama chenye umoja, mshikamano, chenye kuheshimu utu na watu.

Sasa ni mambo ya kuviziana tu. Imefika mahali mwwnachama huyu anataka mwanachama mwenzake afe.

Hii si jambo la kuhendekeza hata kidogo. Chuki na uhasama vimepamba moto.

Ni ccm vs ccm. Wanachogombania ni kile kile
a/ Mgawanyo wa madaraka usio linganifu, hawa wanadae wale wanapewa sana kuliko sisi.

b/ Upendeleo ktk kutoa fursa sawa za kiuchumi. Kundi moja linadhani linafaidi uchumi wa nchi kuliko lingine.

c/ Ndani ya chama upendeleo umezidi kiasi mmoja anaona anamdhulmu mwingine. Inafika hatua sasa hata wajumbe wenye mashina yao wanaowafahamu wagombea wao vizuri hawapewi nafasi ya kupendekeza mgombea sahihi badala yake mgombea anachaguliwa kutoka juu( hili tulionya sasa matunda yake yamekomaa). Mtalinywa.

Matukio yaliyotokea hivi karibuni yameibua hisia za ajabu sana. Kwetu sisi watazamaji tunaona jambo hili sio sawa.

Wote ni wa chama kimoja lakini wanasagiana kunguni kama hawajuani. Kila mmoja anamuona mwenzake ni shetani.

Matukio ya Kufariki Hayati Dr Magufuli, Kufungwa Sabaya, Kushtakiwa Musiba na Kifo cha Membe nadhani Deep statw mnaona kinachoendelea na mnajua solution ni nini. Msijifanye hamuoni. Taifa litatumbukia.

Sasa imefika kuna kundi linaona halina cha kupoteza lolote na liwe ilimradi litaumiza mahasimu bila kujali taifa litaathirika.

Mh Rais kama maridhiano basi yaanze ndani ya chama chako hali ni mbaya. Kuanzia viongozi wa juu hadi wanachama wakawaida.

Nimepitia social media naona wanavyosagiana kunguni najiuliza hawa woote si wachama kimoja?

Kama wanafanyiana hivi je itakuwaje kwa mtu mwenye itikadi tofauti nao?

Je shida ni maslahi? Ni Umaskini? Ni maisha magumu au ni ujinga??

Au kuna mtu anapandikiza haya?
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.

CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi zitafika tamati hivi punde kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.

It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when these unscrupulous rats will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority looters and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.

What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few looters whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except looters themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava boat by which they were sailing!
 
Duuh umewalaani sana ndugu
 
Ni wajinga Tu wasiompenda Magufuli hawana akili
Sukumagang kiwango cha upumbavu ni kikubwa, kumpenda mjinga aliyewateua watu kama Sabaya na Makonda kisha kuwalinda inaonyesha madhaifu ya akili yake.

Na kutetea upumbavu lazima uwe mpumbavu kuuzidi
 
Back
Top Bottom