Aahh tatizo ile familia uswahili mwingiiiii,kila mwanamke mbaya khaa wema walimsema na huyu naye mbaya? Kama sio wao wenye matatizo ni nini?Usimlaumu sana huyu mama maana uchungu wa mwana aujuaye ni mzazi na ujue huyo mama ameshaiona future ya huo uhusiano sio nzuri.Mtaongea sana hapa but mwisho wa siku ni " Nani kama Mama"?
The first and most responsibility of any mum ni kumlinda mwanae!!
Umenitamanisha kuwa mme wako, unajua nini maana ya kuwa mke bora.Sikieni binamu mama mkwe ni sawa na mama ako mzazi
Kwanza mheshimu maana bila yy usingepata Mme au mpenzi
Pili Mnyenyekee sana mama mkwe hapa tunaongela sie waafrica mkwe ndo kila kitu we muache hata akikutia kidole cha macho mpotezee tu jenga picha unaweza kumjibu,kumdharau au kmtusi mama yako mzazi?
Tatu usibishane na mama mkwe hata Siku moja haswa kwa mtoto ambae amelelewa na mama tu!maana amepitia tabu zote peke yake!
Cha msingi we piga kimya tu,akutusi akuseme akudharau wee nyamaza!
Mwisho kabisa ukienda ukweni acha Drama jifanye malaika,uvivu weka pembeni!
Fanya kazi km huna akili nzuri!
Ishi nao vizuri,punguza majivuno kua mpole tu!
Ili hata km wakiskia una vituko wasiamini!
Familia ile ilimkubali Penny tu, bahati mbaya kijana wao hakuwa amekolea kwa Penny, sijui familia hii inataka diamond amtelekeze Zari kama alivyotelekezwa yeye mwenyewe diamond ndo iwe furaha yao!!!!!Aahh tatizo ile familia uswahili mwingiiiii,kila mwanamke mbaya khaa wema walimsema na huyu naye mbaya? Kama sio wao wenye matatizo ni nini?
Ile familia jiiipppuuuu nawapa pole wanao jiingiza humo wanajichimbia kaburi wenyeweeeFamilia ile ilimkubali Penny tu, bahati mbaya kijana wao hakuwa amekolea kwa Penny, sijui familia hii inataka diamond amtelekeze Zari kama alivyotelekezwa yeye mwenyewe diamond ndo iwe furaha yao!!!!!
Hahaaaaaa wewe! Mic u mkuuAmesema nini tuapatie kashata hizo sisi tusio Instgram maana huku Songea haushiki huo mtandao wa kimbea
Bado hawajaoana haoshunie kweli mama ni mma lkn mama huwezi kunifata kila mahali isitoshe huyo mama ni mwislam anajua kabisa ndoa zao zikoje.
lazima ajifunze kumuacha Dai na maisha yake.
na Ndomo nae amwambie mama mapenzi yangu kwako ni makubwa sana na hayana kifani natambua kabisa mchango wako katika maisha yangu
lakin sasa niache nijenge familia yangu na mke wangu na mtoto wangu
amwambie mama nimekuwa na wewe kwa mda gani ni nini nimefanya zaidi ya starehe za hapa na pale
na kuishia kugongewe tu na kuzalia chooni
nimekuwa na Penny nimepiga bila faida mbona ulikuwa husemi?
huyu dada licha ya umaarufu wae amemua kunizalia kunitengenezea familia muache sasa inatosha
umenitupaaaa weweee umepata bwana mpyaHahaaaaaa wewe! Mic u mkuu
Na mama yake Ronaldo naye ni wivu?nyie acheni mama kamhangaikia mwanae,halafu anakuja mwanamke anaetafuta maslahi tu,mama utakaa kimya?Zari ana matatizo maana hata wazazi wa Ivan hawampendi Zari,Zari ni selfish sanaWivu tu unamsumbua
ni mzazi mwenzakeBado hawajaoana hao
Sio mama diamond pekee aliyehangaika na mwanae karibu wa mama wengi huhangaikia watoto wako.Na mama yake Ronaldo naye ni wivu?nyie acheni mama kamhangaikia mwanae,halafu anakuja mwanamke anaetafuta maslahi tu,mama utakaa kimya?Zari ana matatizo maana hata wazazi wa Ivan hawampendi Zari,Zari ni selfish sana
Haya mm nakili nimekutupa eeh wewe je??umenitupaaaa weweee umepata bwana mpya
Alishajengewa mbonaSasa jamaa KM anayo pesa si mjengee mama yake nyumba kuliko kukaa wote
mimi sijakutupaaa si unajua niko huku kijijin navuna mahindiHaya mm nakili nimekutupa eeh wewe je??
Kendrah michaelkwan huko insta anatumia Jina gani eti
Yaani ndo nashangaa,huyu mama amekua mtu wa kwanza hapa duniani kuhangaikia mtoto hahaha jamani alihangaikaje kwanza tofauti na wamama wengine kibao waliotelekezewa watoto wao.Watu wanasema amemuangaikia mwanae Kwani kuna mzazi asiemwangaikia mwanae. Ila inafika mahali unamwacha amove on.