Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Ukweli ni kwamba wana shida ndio maana hawatakiwi popote duniani. wanajificha kwenye kichaka cha dini.kwanza ni wivu wa maendeleo kwasababu wayahudi wanashirikiana kiuchumi hivyo wote wameinuana, hakuna maskini, pili chuki iliyoletwa kwa wakristo kwamba wao walimuua Yesu, tatu ukristo ulikua adui wa uyahudi tangu Yesu yupo na hata baada ya Yesu Kupaa wayahudi waliwindana sana na wafuasi wa ukristo (kumbuka namna paulo alivyobadili imani alikuwa njiani kwenda kukamata wakristo) huo uaduni haujawahi kwisha hivyo wakristo wote enzi za zamani waliishi wakijua wayahudi ni watu waliopotea kwasababu wamemkataa Yesu na ni wauaji wa Yesu hivyo ni watu wabaya, kwa upande wa waislam hata kwenye kitabu chao wanaitwa "mayahudi" na wanastahili kuchinjwa. ni jamii gani sana duniani imewapokea? wakajiona wanatengwa na kila mtu, hivyo wakakubaliana na hali wakaunda umoja wao ulioendelea karne nyingi sana, wakiwa kwenye masinagogi yao uwa wanapeana na deals za kiuchumi na wanahesabiana na kusaidiana wao kwa wao wakajikuta wametawala dunia kiuchumi, hadi sasa wao ndio wametawala dunia kiuchumi. hizo ndio sababu za kuchukiwa.
Haiwezekani taifa likawa kwenye crisis afu nyie mkawa mnajinufaisha hii sio Chuki in my books.
Taifa lilofukuzwa mpaka Tanzania hilo lina shida aseee....