Chuki ya Martin Luther kwa Wayahudi ilivyosababisha holocaust

Chuki ya Martin Luther kwa Wayahudi ilivyosababisha holocaust

kwanza ni wivu wa maendeleo kwasababu wayahudi wanashirikiana kiuchumi hivyo wote wameinuana, hakuna maskini, pili chuki iliyoletwa kwa wakristo kwamba wao walimuua Yesu, tatu ukristo ulikua adui wa uyahudi tangu Yesu yupo na hata baada ya Yesu Kupaa wayahudi waliwindana sana na wafuasi wa ukristo (kumbuka namna paulo alivyobadili imani alikuwa njiani kwenda kukamata wakristo) huo uaduni haujawahi kwisha hivyo wakristo wote enzi za zamani waliishi wakijua wayahudi ni watu waliopotea kwasababu wamemkataa Yesu na ni wauaji wa Yesu hivyo ni watu wabaya, kwa upande wa waislam hata kwenye kitabu chao wanaitwa "mayahudi" na wanastahili kuchinjwa. ni jamii gani sana duniani imewapokea? wakajiona wanatengwa na kila mtu, hivyo wakakubaliana na hali wakaunda umoja wao ulioendelea karne nyingi sana, wakiwa kwenye masinagogi yao uwa wanapeana na deals za kiuchumi na wanahesabiana na kusaidiana wao kwa wao wakajikuta wametawala dunia kiuchumi, hadi sasa wao ndio wametawala dunia kiuchumi. hizo ndio sababu za kuchukiwa.
Ukweli ni kwamba wana shida ndio maana hawatakiwi popote duniani. wanajificha kwenye kichaka cha dini.
Haiwezekani taifa likawa kwenye crisis afu nyie mkawa mnajinufaisha hii sio Chuki in my books.
Taifa lilofukuzwa mpaka Tanzania hilo lina shida aseee....
 
wana shida gani? taja hata moja tu. ni sawa tu na wachaga Tanzania popote tunapoenda mnatuona wezi na wapenda pesa, tukiwauliza tumewaibia nini? hamna jibu kumbe wivu wa mafanikio tu. sehemu zote wayahudi wameenda walikuwa wageni na walikuwa wanapambana na kufanikiwa kuliko wenyeji, then wanaanza kuchukiwa. taja nchi gani walienda wakasababisha shida badala ya wao kusababishiwa shida. nakutajia nchi nyingi waliko:
1. marekani
2. ujerumani
3.poland
4. Austria
5. Australia and New zealand
6. Ufaransa
7. algeria,morrocco,egypt
8. south africa
9. therest of the whole europe
10. arab countries
11. india
 
Uelewe anachosema jamaa hao Wayahudi feki mnaowaita wayahudi , wayahudi halisi hawana hayo mambo ya kishetani
wayahudi halisi wapo wapi? na kwanini unawaita hao ni feki? na wewe basi ni feki.
 
wana shida gani? taja hata moja tu. ni sawa tu na wachaga Tanzania popote tunapoenda mnatuona wezi na wapenda pesa, tukiwauliza tumewaibia nini? hamna jibu kumbe wivu wa mafanikio tu. sehemu zote wayahudi wameenda walikuwa wageni na walikuwa wanapambana na kufanikiwa kuliko wenyeji, then wanaanza kuchukiwa. taja nchi gani walienda wakasababisha shida badala ya wao kusababishiwa shida. nakutajia nchi nyingi waliko:
1. marekani
2. ujerumani
3.poland
4. Austria
5. Australia and New zealand
6. Ufaransa
7. algeria,morrocco,egypt
8. south africa
9. therest of the whole europe
10. arab countries
11. india
HIyo mentality ya "Wachaga tumeendelea" inanifanya nihitimishe mazungumzo na wewe.
 
Bado haujathibitisha chuki ya Martin Luther kwa Wayahudi.

Kwani kumuita mtu muongo ni kumchukia?

Mere allegations
Ukiachana na ushabiki wa dini ukafungua akili yako ungeelewa kilichoandikwa ndani ya hicho kitabu.

Now days kuna AI, jaribu hata kuuuliza chatgpt uhusiano wa Luther na wayahudi utapata jibu, mana unaona sisi tuko biased
 
Back
Top Bottom