wewe ulishaambiwa kabisa kugombea nafasi ya uenyekiti Taifa ni sawa na kuonja sumu kwa ulimi, wewe unajitia kimbelembele, kwamba wewe ni hodari, jasiri na bora zaidi na mjeuri sana right?
zingatia histori gentleman tutakusahau.
Halafu uzi tu umekosea kuandika hivyo, fomu ya kugombea si ndio utakua umekosea zaidi gentleman 🐒