jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Ni wazi kuwa Victor Wanyama anacheza soka uingereza EPL kwa timu bora kabisa ya Totenham Hotspurs, mafanikio yake ni furaha ya wana afrika mashariki kwa ujumla.
Akitembelea tanzania Victor Wanyama alihudhuria mechi ya mtaani iliyokuwa ya kukata na shoka.
Kitendo hicho kiliwafurahisha wenye mamlaka na manispaa ya ubungo na kupitia utaratibu rasmi chini ya mamlaka waliyokuwa nayo kisheria walimtunuku Victor Wanyama jina kwa mtaa mmoja maeneo ya manispaa ya ubungo.
Mayor wa Ubungo aliyetekeleza kutaja mtaa huo anatoka chama cha chadema ambacho ccm inaota usiku na mchana kife. Chadema inayomuunga mkono Uhuru Kenyata.
Ccm kupitia mkuu wa mkoa wametumia ubabe kubatilisha jina la mtaa wa Victor Wanyama.
Kwa kuwa Victor Wanyama anaheshimika sana nchini kwake Kenya, kitendo cha ccm inayomuunga mkono Raila Odinga (Magufuli's personal friend) kumdharau Victor Wanyama hadharani hakuwezi kumpunguzia uungwaji mkono Raila Odinga swaiba wa Magufuli na ccm yake?