Theorist, hebu thibitisha hapa? Wakenya wana maamuzi yao kuhusu nani awaongoze, wakenya sio nyumbu!Kenya mmelipokeaje jambo hili towards uchaguzi ambao raila anaungwa mkono na waliong'oa bango?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Theorist, hebu thibitisha hapa? Wakenya wana maamuzi yao kuhusu nani awaongoze, wakenya sio nyumbu!Kenya mmelipokeaje jambo hili towards uchaguzi ambao raila anaungwa mkono na waliong'oa bango?
Inawezekana unatekenywa, ya Tanzania waachie wantanzania wenyewe, jiandae kupiga kura.Sawasawa magonjwa,nyangau amekusikia,haina haja kabsa wewe ukatokwa na mishipa shingoni ukijibizana na wakenya.Vidonda vya tumbo ukishapata ni stress jombaa!Manispaa ni yenu Meya ni wenu,nchi ni yenu.Lakini,hivi unaelewa lori linavoendeshwa wewe?
Huna lolote.Ni kibarua nakupa tu aisee!ulingoja nikutupie kapicha nini?
Sawa mkuu!Huna lolote.
Asante.Sawa mkuu!
mumeo mdogoHuyo pichani ndio mkuu wa mkoa!?
UKIWA MJIFUNZE KUFUATA TARATIBU....... MAYOR HANA MAMLAKA YA KUTOA MAJINA YA MITAA..... jinsi mnavyopauka CHADEMA wananchi wanaendelea kuumia....Rudini kwenye UTAMADUNI WA ZAMANI...Ni wazi kuwa Victor Wanyama anacheza soka uingereza EPL kwa timu bora kabisa ya Totenham Hotspurs, mafanikio yake ni furaha ya wana afrika mashariki kwa ujumla.
Akitembelea tanzania Victor Wanyama alihudhuria mechi ya mtaani iliyokuwa ya kukata na shoka.
Kitendo hicho kiliwafurahisha wenye mamlaka na manispaa ya ubungo na kupitia utaratibu rasmi chini ya mamlaka waliyokuwa nayo kisheria walimtunuku Victor Wanyama jina kwa mtaa mmoja maeneo ya manispaa ya ubungo.
Mayor wa Ubungo aliyetekeleza kutaja mtaa huo anatoka chama cha chadema ambacho ccm inaota usiku na mchana kife. Chadema inayomuunga mkono Uhuru Kenyata.
Ccm kupitia mkuu wa mkoa wametumia ubabe kubatilisha jina la mtaa wa Victor Wanyama.
Kwa kuwa Victor Wanyama anaheshimika sana nchini kwake Kenya, kitendo cha ccm inayomuunga mkono Raila Odinga (Magufuli's personal friend) kumdharau Victor Wanyama hadharani hakuwezi kumpunguzia uungwaji mkono Raila Odinga swaiba wa Magufuli na ccm yake?
mumeo mdogo
mkuu wa wilaya
Hapana! Nilikumbusha arrogance ya magufail kwa matajiri.
How old are you?UPuuzi mtupu zero kabisa,wanyama anaheshimiwa na nani.
Upo sahihi,I think tatizo sio arrogance ya Magufuli, isipokuwa ni procedural matters, jana usiku nimetizama BBC Dira ya Dunia, kumbe hata wenye mtaa hawajashirikishwa kuhusu uamuzi wa mtaa wao kupewa jina hilo. So inaonekana as if ni kikukundi cha watu wachache au mtu mmoja kwa emotion zake aliamua hili jambo.
And of course kwa sheria namba 8 ya mwaka 1982 ya Seriakali za mitaa, ni step moja tu ndio imefanyika lakini zingine zote zimekuwa skipped out!
Kwa upande wangu naona mh Mayor wa Manispaa ya Ubungo na watu wake (mwenyekiti wa Mtaa na mtendaji wa mtaa) wametutia aibu na wamemtia aibu Victor Wanyama.
Victor Wanyama Street in Tanzania axed after a day - BBC News
Magufuli yupo clear sana, hana chuki na matajili isipokuwa anataka watu wote wafuate sheria na taratibu za nchi, that's all, jambo ambalo Mayor Jacob na watu wake hawakulifanya.