Remark
JF-Expert Member
- Aug 15, 2015
- 510
- 989
Kwa hili watanzania tumejiaibisha sana iv kulikua hakuna jinsi ya kuhandle hiyo hali hata kama taratibu zilikosewa kufuatwa mbona ilikua ni ishu ndogo wala isingeweza kuharibu kitu chochote zaid ya kuzid kujiweka vizuri kidiplomasia!!!?? Iv hata yeye mwenyewe Wanyama au celebrity mwingine yoyote akisikia sidhan kama atakua na hamu ya kuja kwenye event nyingine yoyote.Tuachen kuingiza siasa kwenye mambo mengine yasiyo paswa na hii ni kwa wote si upinzan si ccm yan kiukweli nimeudhika sana na hili.