Aende mahakamani huyo meya. Asitupotezee mudaMeya katupia sheria inayompa mamlaka, sasa na wewe tupia utaratibu alioukiuka.
Yaan miccm mna roho mbaya mpaka mnahatarisha cheo cha shetani.
Eti ndio inaimbwa kila siku kuwa vijana wapewe nafasi ya kuongoza nchi . . ?!Kwa hili watanzania tumejiaibisha sana iv kulikua hakuna jinsi ya kuhandle hiyo hali hata kama taratibu zilikosewa kufuatwa mbona ilikua ni ishu ndogo wala isingeweza kuharibu kitu chochote zaid ya kuzid kujiweka vizuri kidiplomasia!!!?? Iv hata yeye mwenyewe Wanyama au celebrity mwingine yoyote akisikia sidhan kama atakua na hamu ya kuja kwenye event nyingine yoyote.Tuachen kuingiza siasa kwenye mambo mengine yasiyo paswa na hii ni kwa wote si upinzan si ccm yan kiukweli nimeudhika sana na hili.
Mahakama tz si ni kama kujipeleka jehanam bila kungoja hukumu siku ya kiama?Aende mahakamani huyo meya. Asitupotezee muda na ubashite wake uliotukuka.
Za kenya ndio za akhera sio?Mahakama tz si ni kama kujipeleka jehanam bila kungoja hukumu siku ya kiama?
Kwa hiyo kung'oa bango lililoandikwa V. WANYAMA STREET ndio suluhisho la watanzania wanaofukuzwa huko Namanga?Watanzania wengi ni wapumbavu tu.
Wakati mnajishebedua kumpa Wanyama mtaa huko border ya Namanga upande wa Kenya watanzania wamefukuzwa kwa sababu za kipumbavu tu.
Mbona hujibu swali?Zero brain
Trust me,Watanzania wengi ni wapumbavu tu.
Wakati mnajishebedua kumpa Wanyama mtaa huko border ya Namanga upande wa Kenya watanzania wamefukuzwa kwa sababu za kipumbavu tu.
Upuuzi mtupu. Hebu acha majibu ya kitoto. Sema Bashite ni nani ueleweke.Nenda ofisi ya mkuu wa mkoa wa dar, uite kwa sauti kubwa " Bashite zero brain" atatoka kukusikiliza.
Kwa hiyo ukimshitaki mahakamani Bashite utamwambia hakimu aende Ilala boma akamtafute kwa kuita kwa sauti kubwa "Bashite zero brain"? Vijana wa bavicha mnayo kazi wallahi.Mi mgeni daisalama.
Nimeshakwambia nenda sasa pale ilala boma.
Sasa hata suala jepesi tu kama hili unahitaji ufafanuzi na wewe unautofauti gani na zero brainUmebaki kuweweseka na kigugumizi tu.
Unatia huruma.Sasa hata suala jepesi tu kama hili unahitaji ufafanuzi na wewe unautofauti gani na zero brain
Zero yani zeroooo
Yaani hapo ndio unajiona mjanjaa, ha ha ha.zero brain