Mkuu,Kwa kujazia tu yule Mzee ana busara zake na sio chawa kwa hyo hao mabwana zako wanaokubashia wajipange na hoja za maana usituletee uchoko wako hapa mafi wewe
Uzi ufungwe Kiranga amekata mtu ngebe.J. S. Warioba alikuwa anabishana na Nyerere wakati Nyerere ni rais na Warioba ni Mwanasheria Mkuu wa serikali.
Alikuwa anamfundisha sheria Nyerere bila woga, mpaka Nyerere anakubali kushindwa.
Hajaanza hivi karibuni kukosoa uongozi.
Acha siasa za majitaka.
Uchawa hulemaza akili.Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Kiranga huwezi kuwa serious, hivyo vitabu vimeandikwa awamu ipi?Mkuu,
Haya mambo yako documented wazi including kwenye vitabu vitatu vya Nyerere walivyoandika kina Shivji et al.
Tatizo husomi.
Abishane na Nyerere kama Rais au? Unamjua vizuri Nyerere au? Nyerere alikuwa Dikteta wa kweli kweli!!J. S. Warioba alikuwa anabishana na Nyerere wakati Nyerere ni rais na Warioba ni Mwanasheria Mkuu wa serikali.
Alikuwa anamfundisha sheria Nyerere bila woga, mpaka Nyerere anakubali kushindwa.
Hajaanza hivi karibuni kukosoa uongozi.
Acha siasa za majitaka.
Kwa nini swali hili liwe la muhimu?Kiranga huwezi kuwa serious, hivyo vitabu vimeandikwa awamu ipi?
INALETA MANTIKI ZAIDI HOJA ZAKE AKIZIWASILISHA IKULU MOJA KWA MOJA BADALA YA KUWA ANAZIACHIA AKIWA KWENYE MAJUKWAA. MH WARIOBA ANAO UWEZO WA KUINGIA IKULU KWA MUDA KAMA ANAVYOPENDA MWENYEWEHizi heshima za kikondoo ndiyo zinazoharibu nchi.
Kwenye serikali ya Nyerere Warioba hakuweza kukosoa wazi hadharani kwa sababu kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri wa Sheria alifungwa na kanuni za "collective responsibility" zikizowataka watumishi wa serikali kukosoana ndani ya vikao vya serikali, wakitoka nje watoke na kauli moja.
Sasa hivi Warioba ni mstaafu, hayupo kwenye serikali, hafungwi na kanuni za "collective responsibility", usimnyime haki yake ya kikatiba ya kutoa maoni yake kwa uhuru.
Unajuaje hajaziwasilisha Ikulu?INALETA MANTIKI ZAIDI HOJA ZAKE AKIZIWASILISHA IKULU MOJA KWA MOJA BADALA YA KUWA ANAZIACHIA AKIWA KWENYE MAJUKWAA. MH WARIOBA ANAO UWEZO WA KUINGIA IKULU KWA MUDA KAMA ANAVYOPENDA MWENYEWE
MTU KUTOFUNGWA NA RULE OF COLLECTIVE RESPONDIBILITY BADO HAKUMPI UHURU WA KUONGEA KWA NAMNA ANAVYOPENDA MWENYEWE
Wewe humjui Sinde Warioba kaa chini.Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Ole nsukuma ?gawiza bhabhaBhebhe nang"ho, nale chiza gete
Uongo kabisa, Mzee Joseph Since Warioba kinachomkasirisha ni kuhusu Katiba iliyofichwa Toka 2014,tangu kipindi hicho katiba mpya hairanyiwi kazi wakati fedha nyingi zilishatumika katika kutungwa Kwa katiba mpya hadi hapo serikali itakapoamua?. Usipotoshe hasira za JSW.Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Ushoga na usagaji ni tabia chafu. Taifa Lina bahati mbaya kuwa na kijana Kama wewe, Bora baba yako angemwagia kamasi njeZa ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Vitoto vya mwaka 2000 vina shida sana; vimemjua Warioba juzi. Warioba alibishana na Nyerere na waziri mkuu wake bwana Sokoine kwa sheria yao ya uhujumu uchumi, alifikia hadi ku predict what could happen na ilitokea kweli hiyo prediction yake, Sokoine alikua anatisha those days, Warioba aliwakabiri both, PM na rais, huenda kipindi hicho huyo Kippi hata hakua kazaliwa, leo mtu kashiba zake kande huko anakuja na viji story vya kuokoteza. Miaka hi ya 2000, si ni Warioba aliyetofautiana na chama chake kuhusu katiba mpya na mfumo wa muungano? Mwanae alikua kanyang'anywa ukuu wa wilaya?J. S. Warioba alikuwa anabishana na Nyerere wakati Nyerere ni rais na Warioba ni Mwanasheria Mkuu wa serikali.
Alikuwa anamfundisha sheria Nyerere bila woga, mpaka Nyerere anakubali kushindwa.
Hajaanza hivi karibuni kukosoa uongozi.
Acha siasa za majitaka.
Naona mnaisema JF kwa ubaya huku mkitumia kilugha.Gwa ng"ana, namhala ng'weneyo wapandekaga lusalo
Wewe ni MJINGAZa ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Mkuu,Vitoto vya mwaka 2000 vina shida sana; vimemjua Warioba juzi. Warioba alibishana na Nyerere na waziri mkuu wake bwana Sokoine kwa sheria yao ya uhujumu uchumi, alifikia hadi ku predict what could happen na ilitokea kweli hiyo prediction yake, Sokoine alikua anatisha those days, Warioba aliwakabiri both, PM na rais, huenda kipindi hicho huyo Kippi hata hakua kazaliwa, leo mtu kashiba zake kande huko anakuja na viji story vya kuokoteza. Miaka hi ya 2000, si ni Warioba aliyetofautiana na chama chake kuhusu katiba mpya na mfumo wa muungano? Mwanae alikua kanyang'anywa ukuu wa wilaya?
Kumbe za ndani ambazo ni za machawa tuZa ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.