LESIRIAMU JF-Expert Member Joined Feb 12, 2008 Posts 9,006 Reaction score 14,536 Dec 14, 2024 #141 chiembe said: Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya. Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho. Click to expand... Tatizo kuu la Ccm hampendi ukweli, mmezowea uongo wizi, mauaji na kusifiwa maujinga. Baada ya Mzee wa watu kuwa pasukia mna tafuta mti wa kushika. Nani kakuambia Kippi ana maisha ya shida.?
chiembe said: Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya. Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho. Click to expand... Tatizo kuu la Ccm hampendi ukweli, mmezowea uongo wizi, mauaji na kusifiwa maujinga. Baada ya Mzee wa watu kuwa pasukia mna tafuta mti wa kushika. Nani kakuambia Kippi ana maisha ya shida.?
C Chief Sanze JF-Expert Member Joined Jun 13, 2014 Posts 1,668 Reaction score 3,736 Dec 14, 2024 #142 Lazima uwe mjinga ndiyo uwe na mawazo kama haya.
M Mbuli yaza JF-Expert Member Joined May 30, 2023 Posts 711 Reaction score 683 Dec 14, 2024 #143 kiss daniel said: Wanjaga kusala lolo wamwise Click to expand... wegela kusala wang'wise
kiss daniel JF-Expert Member Joined Mar 1, 2019 Posts 758 Reaction score 2,062 Dec 14, 2024 #144 Mbuli yaza said: wegela kusala wang'wise Click to expand... Unene Hange!