Chuki za Polepole kwa Samia kuwa rais zilianza zamani baada ya Magufuli kufariki

Kikwebo

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2006
Posts
460
Reaction score
289
Chuki ya Pole pole na genge lake inadhihirika zaidi leo hii kwa kuwa hakuna jinsi. Lakini niwakumbushe tu kulikuwa na mvutano kuhusu kuapishwa kwa Samia aliyekuwa Makamo wa Raisi kuwa Raisi baada ya kifo cha Raisi Magufuli.
Cha kushangaza huyu anayejitambulisha kuwa ni mtetezi wa Katiba hakuwa radhi kwa Samia kuwa Raisi.
Sasa anachokifanya leo hii na hatimaye kutamka rasmi kuwa Samia hawezi kuwa Raisi ni kielelezo cha chuki zake dhidi ya Samia tangu Mwaka 2021.

Sasa kwa kuwa yeye ni bingwa wa kumtanguliza Mungu kwenye kila jambo atoke hadharani na aeleze msimamo wake ulikuwa ni upi kwenye Samia kuapishwa kuwa Raisi mwaka 2021.
 
Chuki ya Pole pole na genge lake linadhihirika zaidi leo hii kwa kuwa hakuna jinsi. Lakini niwakumbushe tu kulikuwa na mvutano kuhusu kuapishwa kwa Samia aliyekuwa Makamo wa Raisi kuwa Raisi baada ya kifo cha Raisi Magufuli.

Polepole ni crazy
 
Naunga mkono hoja. Chuki yake haina maana. Kama waliruhusu awe makamu wa Rais, maana yake walikubali pia kuwa siku moja anaweza kuwa Rais. Sasa kama walikuwa na maono hayo walitakiwa wamzuie asiwe makamu. Kama hawakuona hili basi walikuwa vipofu. Wasituchoshe Urais mtanzania yeyote anaweza kuwa. Sasa ni zamu ya DR Samia Suluhu Hassan. Tumpe ushirikiano yeye awamu yake nayo itaisha kama zilivyo nyingine. Tuache kumyumbisha
 
Sidhani kama ni vibaya kuwa na chuki na jambo baya
 
Naunga mkono hoja. Chuki yake haina maana. Kama waliruhusu awe makamu wa Rais, maana yake walikubali pia kuwa siku moja anaweza kuwa Rais. Sasa kama walikuwa na maono hayo walitakiwa wamzuie asiwe makamu. Kama hawakuona hili basi walikuwa vipofu. Wasituchoshe Urais mtanzania yeyote anaweza kuwa. Sasa ni zamu ya DR Samia Suluhu Hassan. Tumpe ushirikiano yeye awamu yake nayo itaisha kama zilivyo nyingine. Tuache kumyumbisha
Bora umeliona hilo na hakuna jinsi kama ilivyokuwa 2021 ndivyo itakavyokuwa 2025.
 
Hakuna kitu hapo ni nyanya mbovu na maharage ya majuzi ileeee. Jibuni hoja
 
hakuna cha chuki wala nini, truely speaking mama yako hakubaliki hali ni mbaya mno
 
Chuki ya Pole pole na genge lake linadhihirika zaidi leo hii kwa kuwa hakuna jinsi. Lakini niwakumbushe tu kulikuwa na mvutano kuhusu kuapishwa kwa Samia aliyekuwa Makamo wa Raisi kuwa Raisi baada ya kifo cha Raisi Magufuli.
Cha kushangaza huyu anayejitambulisha kuwa ni mtetezi wa Katiba hakuwa radhi kwa Samia kuwa Raisi.
Sasa anachokifanya leo hii na hatimaye kutamka rasmi kuwa Samia hawezi kuwa Raisi ni kielelezo cha chuki zake dhidi ya Samia tangu Mwaka 2021.

Sasa kwa kuwa yeye ni bingwa wa kumtanguliza Mungu kwenye kila jambo atoke hadharani na aeleze msimamo wake ulikuwa ni upi kwenye Samia kuapishwa kuwa Raisi mwaka 2021.
Samia hana uwezo, ni pambo tu

Shida inaanzia hapo

Kama unadhan unaakili kushîda wengine kwenye kuona potential za Samia?

Mnabaki kusema uislam , JK alikuwa Xtian?

Shida kubwa Samia hana uwezo na analilia majukum nje ya uwezo wake
 
hakuna cha chuki wala nini, truely speaking mama yako hakubaliki hali ni mbaya mno
Hali mbaya wapi?Nyie binadamu ni wanafiki sana. Hivi ni lini mliwahi kukiri katika nchi hii kwamba hali ni nzuri?Acheni bangi zenu. Rais ni Dr Samia na ataendelea kubaki hivyo,na atashinda uchaguzi na kuendelea kuwa Amiri jeshi mkuu hadi 2030 kwa uweza wa Mungu. Mnataka ndio hivyo ima hamtaki ndio hivyo.
 
Chuki ya Pole pole na genge lake linadhihirika zaidi leo hii kwa kuwa hakuna jinsi. Lakini niwakumbushe tu kulikuwa na mvutano kuhusu kuapishwa kwa Samia aliyekuwa Makamo wa Raisi kuwa Raisi baada ya kifo cha Raisi Magufuli.
Cha kushangaza huyu anayejitambulisha kuwa ni mtetezi wa Katiba hakuwa radhi kwa Samia kuwa Raisi.
Sasa anachokifanya leo hii na hatimaye kutamka rasmi kuwa Samia hawezi kuwa Raisi ni kielelezo cha chuki zake dhidi ya Samia tangu Mwaka 2021.

Sasa kwa kuwa yeye ni bingwa wa kumtanguliza Mungu kwenye kila jambo atoke hadharani na aeleze msimamo wake ulikuwa ni upi kwenye Samia kuapishwa kuwa Raisi mwaka 2021.
Polepole ana point, tunapaswa kumuunga mkono kwa nguvu zetu zote.
 
Samia hana uwezo, ni pambo tu

Shida inaanzia hapo
Kwako wewe uwezo unapimwa kwa kigezo gani? Hii ilikuwa labda ni wasi wasi wa waliokuwa wanapinga.
Sasa tujiulize miaka 4 yake ya Uraisi amefanya nini?
Angalia records za
Mapato ya ndani yameongezeka maradufu, ukamilishwaji wa miradi ya kimkakati (bwawa la nyerere,sgr mpaka Dodoma, daraja la bussing miradi mipya ya ujenzi wa zahanati,shule n.k. Kwa watumishi kupandishwa kwa madaraja na mishahara lakini kubwa zaidi demokrasia kuongezeka kuruhusu mikutano, maandamano na hata waliokimbia nchi walirejea.
 
hakuna cha chuki wala nini, truely speaking mama yako hakubaliki hali ni mbaya mno
Hakubaliki kwako, we ni kipofu huoni wanaomkubali. Mtakufa na vihoro mahasidi nyie. Samia yupo kwenye midomo ya watanzania muda wote
 
Kwako wewe uwezo unapimwa kwa kigezo gani? Hii ilikuwa labda ni wasi wasi wa waliokuwa wanapinga.
Sasa tujiulize miaka 4 yake ya Uraisi amefanya nini?
Angalia records za
Mapato ya ndani yameongezeka maradufu, ukamilishwaji wa miradi ya kimkakati (bwawa la nyerere,sgr mpaka Dodoma, daraja la bussing miradi mipya ya ujenzi wa zahanati,shule n.k. Kwa watumishi kupandishwa kwa madaraja na mishahara lakini kubwa zaidi demokrasia kuongezeka kuruhusu mikutano, maandamano na hata waliokimbia nchi walirejea.
Hicho kibwengo kinabeba maboksi Canada mpuuze
 
Kwa hiyo mama hajakosea? Au mnasubiri rostam ajibu hoja zake?
 
Kwako wewe uwezo unapimwa kwa kigezo gani? Hii ilikuwa labda ni wasi wasi wa waliokuwa wanapinga.
Sasa tujiulize miaka 4 yake ya Uraisi amefanya nini?
Angalia records za
Mapato ya ndani yameongezeka maradufu, ukamilishwaji wa miradi ya kimkakati (bwawa la nyerere,sgr mpaka Dodoma, daraja la bussing miradi mipya ya ujenzi wa zahanati,shule n.k. Kwa watumishi kupandishwa kwa madaraja na mishahara lakini kubwa zaidi demokrasia kuongezeka kuruhusu mikutano, maandamano na hata waliokimbia nchi walirejea.
🤣 sawa
 
Hakuna mwenye chuki mfano mimi leo nimchukie samia nitapata faida gani wakati hanijui simjui?

Kinachochukiwa ni kule kushindwa kwake kufanya mambo namna inavyotakiwa,hakuna anayemchukia mtu watu wanachochukia ni matendo yake.
 
Pole soma vizuri kichwa cha habari cha hii thread!
Pili, unaposhindwa kutaja hayo mambo aliyoshindwa kuyafanya ndio unaweza Ukaingia kwenye kundi la kina Pole pole et al.
 
Kwanzia Leo tamuunga mkono SAMIA, ana mapungufu yake ILA tukumbuke hata WEWE ukipewa nchi BADO utapingwa TU

Kwishaaaaa
 
Back
Top Bottom