Kwako wewe uwezo unapimwa kwa kigezo gani? Hii ilikuwa labda ni wasi wasi wa waliokuwa wanapinga.
Sasa tujiulize miaka 4 yake ya Uraisi amefanya nini?
Angalia records za
Mapato ya ndani yameongezeka maradufu, ukamilishwaji wa miradi ya kimkakati (bwawa la nyerere,sgr mpaka Dodoma, daraja la bussing miradi mipya ya ujenzi wa zahanati,shule n.k. Kwa watumishi kupandishwa kwa madaraja na mishahara lakini kubwa zaidi demokrasia kuongezeka kuruhusu mikutano, maandamano na hata waliokimbia nchi walirejea.