Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,639
- 2,384
Hakupenda Samia kuwa rais.Chuki binafsiChuki ya Pole pole na genge lake inadhihirika zaidi leo hii kwa kuwa hakuna jinsi. Lakini niwakumbushe tu kulikuwa na mvutano kuhusu kuapishwa kwa Samia aliyekuwa Makamo wa Raisi kuwa Raisi baada ya kifo cha Raisi Magufuli.
Cha kushangaza huyu anayejitambulisha kuwa ni mtetezi wa Katiba hakuwa radhi kwa Samia kuwa Raisi.
Sasa anachokifanya leo hii na hatimaye kutamka rasmi kuwa Samia hawezi kuwa Raisi ni kielelezo cha chuki zake dhidi ya Samia tangu Mwaka 2021.
Sasa kwa kuwa yeye ni bingwa wa kumtanguliza Mungu kwenye kila jambo atoke hadharani na aeleze msimamo wake ulikuwa ni upi kwenye Samia kuapishwa kuwa Raisi mwaka 2021.
Kuna kikundi kidogo ndani ya nchi wanamiliki zaidi ya akaunti 500 za mitandao kazi yao ni kumsifia mama km ww Mbwa mleta post..Kwako wewe uwezo unapimwa kwa kigezo gani? Hii ilikuwa labda ni wasi wasi wa waliokuwa wanapinga.
Sasa tujiulize miaka 4 yake ya Uraisi amefanya nini?
Angalia records za
Mapato ya ndani yameongezeka maradufu, ukamilishwaji wa miradi ya kimkakati (bwawa la nyerere,sgr mpaka Dodoma, daraja la bussing miradi mipya ya ujenzi wa zahanati,shule n.k. Kwa watumishi kupandishwa kwa madaraja na mishahara lakini kubwa zaidi demokrasia kuongezeka kuruhusu mikutano, maandamano na hata waliokimbia nchi walirejea.
Chuki ya Pole pole na genge lake inadhihirika zaidi leo hii kwa kuwa hakuna jinsi. Lakini niwakumbushe tu kulikuwa na mvutano kuhusu kuapishwa kwa Samia aliyekuwa Makamo wa Raisi kuwa Raisi baada ya kifo cha Raisi Magufuli.
Cha kushangaza huyu anayejitambulisha kuwa ni mtetezi wa Katiba hakuwa radhi kwa Samia kuwa Raisi.
Sasa anachokifanya leo hii na hatimaye kutamka rasmi kuwa Samia hawezi kuwa Raisi ni kielelezo cha chuki zake dhidi ya Samia tangu Mwaka 2021.
Sasa kwa kuwa yeye ni bingwa wa kumtanguliza Mungu kwenye kila jambo atoke hadharani na aeleze msimamo wake ulikuwa ni upi kwenye Samia kuapishwa kuwa Raisi mwaka 2021.
Pole pole ni akili kisoda
Mabeyo aliwamaliza kabisa kina Pole Pole na marafiki zake alipoamua kumsimamia Samia kuhakikisha anakuwa rais baada ya JPM kuaga dunia.Chuki ya Pole pole na genge lake inadhihirika zaidi leo hii kwa kuwa hakuna jinsi. Lakini niwakumbushe tu kulikuwa na mvutano kuhusu kuapishwa kwa Samia aliyekuwa Makamo wa Raisi kuwa Raisi baada ya kifo cha Raisi Magufuli.
Cha kushangaza huyu anayejitambulisha kuwa ni mtetezi wa Katiba hakuwa radhi kwa Samia kuwa Raisi.
Sasa anachokifanya leo hii na hatimaye kutamka rasmi kuwa Samia hawezi kuwa Raisi ni kielelezo cha chuki zake dhidi ya Samia tangu Mwaka 2021.
Sasa kwa kuwa yeye ni bingwa wa kumtanguliza Mungu kwenye kila jambo atoke hadharani na aeleze msimamo wake ulikuwa ni upi kwenye Samia kuapishwa kuwa Raisi mwaka 2021.
Atamshinda doyo?Hali mbaya wapi?Nyie binadamu ni wanafiki sana. Hivi ni lini mliwahi kukiri katika nchi hii kwamba hali ni nzuri?Acheni bangi zenu. Rais ni Dr Samia na ataendelea kubaki hivyo,na atashinda uchaguzi na kuendelea kuwa Amiri jeshi mkuu hadi 2030 kwa uweza wa Mungu. Mnataka ndio hivyo ima hamtaki ndio hivyo.
Mbona kupo shwali tu siioni hiyo hali mbayahakuna cha chuki wala nini, truely speaking mama yako hakubaliki hali ni mbaya mno
Pole pole ni akili kisoda
Kwanini mnashupaza shingo kwa kulazimisha nyeusi ionekane nyuepe? Ukweli ni kwamba Polepole kawapiga kwenye mshono, kubalini tu kwamba hamna uwezo wa kuzijibu hoja zake.Bora umeliona hilo na hakuna jinsi kama ilivyokuwa 2021 ndivyo itakavyokuwa 2025.
Ajibu kwanza msimamo wake ulikuwa ni upi mwaka 2021 wakati Magufuli anafariki otherwise anakuwa ni mtu mwenye chuki na hakuridhika na Samia kuwa Raisi tangu mwaka 2021.Kwanini mnashupaza shingo kwa kulazimisha nyeusi ionekane nyuepe? Ukweli ni kwamba Polepole kawapiga kwenye mshono, kubalini tu kwamba hamna uwezo wa kuzijibu hoja zake.