Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #61
Nipeni Taifa Stars bhana .Inabidi uombe kazi ya kuifundisha timu ya taifa ya Uingereza!
Mbona yupo kitambo , sema anatumia ID FAKEUtaweza siasa za mpira wa Tanzania?
Yupo humu JF?
Sasa ni dhahiri kwamba kocha huyu kikongwe anazo chuki binafsi.
Katika hali ya kawaida huwezi kumwacha benchi Jamie Vardy kama unataka kushinda , hii ni ajabu !
Ukiangalia kwa makini Vardy kila nafasi anayopata ndani ya 18 hesabu ni goli , habahatishi , kwenye game kama hizi usitarajie kupata nafasi nyingi sana , kwahiyo unahitaji mchezaji mwenye uwezo na asiyefanya ajizi kama Vardy .
First touch yake haina mfano , sasa unamuachaje benchi ?
Alimuacha DrinkWater akaleta mshangao dunia nzima , sasa hii shilingi nyingine anayoichezea itamrudisha nyumbani mapema sana , Hakuna striker wa England wa kumuweka benchi Vardy , utake usitake .
Anatumia ID fake hahahahahaHodgson amekusikia [emoji2]
Nadhani atakuwa anasoma thread za jf [emoji23][emoji23]
Mimi nitamfikishia nina namba yakeUtaweza siasa za mpira wa Tanzania?
Yupo humu JF?
Ushauri wa bure - Mzee wangu Roy Hodgson acha chuki , chuki haifai .
Wewe ni mwingereza wa kwanza kuishi Tandale , hongera sana !Wale waliosema hatuvuki hatua hii wajiandae kisaikolojia.
Kweli mkuu Mkwasa na Hogson ngoma droo , Huwezi kumweka nje mfungaji bora halafu kisa jina umeweke ROONEY utegemee ushindiEngland saw na Yanga,Timu ya Yanga ina shaini kwa wachezaji wa kigeni,ujinga kocha akawa hukua kuwaweka Taifa Stars,Ndo kichapo nje ndani
Hongera nawe pia kuligundua hilo.Wewe ni mwingereza wa kwanza kuishi Tandale , hongera sana !
Kweli kabisa.Kwakweli 'ukoloni' hauwezi kuisha!
Kama SIMBA vile......England hata wafundishwe na nani, hawana wanachojivunia zaidi ya history ya mwaka sijui mwaka gani walichukua world Cup karne sijui ya ngapi vile,
Dah kumbe kuna waingereza wanajua kuandika kiswahiliWale waliosema hatuvuki hatua hii wajiandae kisaikolojia.
Ni lugha unaweza kujifunzaDah kumbe kuna waingereza wanajua kuandika kiswahili
Inashangaza.watanzania wanaujua sana mpira, sijui ni kwa nini timu yetu huwa haifuzu kushiriki mashindano!
Ha! Ha! Ha! Jana wamepoteana hadi wengine wanazungumza kimakonde !Ni lugha unaweza kujifunza